Je mwanamke anapo olewa..Anachofuata Ni Mali za mwanaume Yaaani Magari, magorofa na mfanowe?
Je anafuata urafiki, uhusiano, Mapenzi ya dhati, kufanya Mapenzi, Utulivu wa nafsi au Heshima?
Je ukipewa Hizo pesa na magari na majumba..ukawa tajiri alafu mwanaume akawa anaonekana kwa nadra Sana utakuwa na furaha?
Je furaha ya kweli katika Mapenzi / ndoa Ni pesa?
Kuna usemi nausikiaga... When poverty enters the door love flies out of the window.
Tell me guys...what makes a happy marriage... Is it money or is it the man?
I like to think I need a man first, his presence is Vital then other factors can be considered.
What do you guys think?
N.B Hiyo English Tia maji Tia maji nilifundishwa na mwalimu wangu Ticha** Shamim... Mlosoma kayumba msianze maneno yenu.