Umemaliza, na ukiona package yako imekua ngumu kuipata, Kaaa na baba yako.Ndoa ni package!
Kuna Platinum, Gold, Silver, Wood, Feather etc kila Moja na uzito wake.
Nionavyo Mimi, ndoa ni kwa watu wasiokamilika (imperfect people). Ikiwa mtu anajihisi ni perfect person, aachane na ndoa aendelee na biashara zingine. Itamfaa!
U bwtter bliv that bby! Hilo halipingiki kabisa research kibao zimeonyesha hilo mwenye nina ndugu yangu alikuwa yupo kwenye mambo ya ngoma haya sasa katika research waliulizwa wake kwa nini ulichepuka? U guessed it....." Matatizo ya hela ya mume wangu"So the root cause of marital turbulence is MONEY?
Hapana mkuu agiza kongoro nalipiaMada imekukera Nini?
...unaposema "jinsia mbili kinzani" unamaanisha nini?Kuhusu ndoa ni ukamilisho hili silijui, labda unipe maelezo na ithibati.
Ndoa ni mkataba wa makubaliano ya kimahusiano ya mapenzi(Kujamiiana) baina ya jinsia mbili kinzani,ya kuwa wataishi kwa wema na kama wakiachana basi wataachana kwa wema. Hii ndiyo maana ya Ndoa.
Lakini unajua ya kuwa wapo binadamu ambao kuoa kwao ni jambo la haramu ?
Kwaiyo unadhani umeongea ukweli...Sawa Mwamposa Naona unajua kila kitu.
Pole Acha kuhisi hisi usoyajua Mkulungwa
Je mwanamke anapo olewa..Anachofuata Ni Mali za mwanaume Yaaani Magari, magorofa na mfanowe?
Je anafuata urafiki, uhusiano, Mapenzi ya dhati, kufanya Mapenzi, Utulivu wa nafsi au Heshima?
Je ukipewa Hizo pesa na magari na majumba..ukawa tajiri alafu mwanaume akawa anaonekana kwa nadra Sana utakuwa na furaha?
Je furaha ya kweli katika Mapenzi / ndoa Ni pesa?
Kuna usemi nausikiaga... When poverty enters the door love flies out of the window.
Tell me guys...what makes a happy marriage... Is it money or is it the man?
I like to think I need a man first, his presence is Vital then other factors can be considered.
What do you guys think?
N.B Hiyo English Tia maji Tia maji nilifundishwa na mwalimu wangu Ticha** Shamim... Mlosoma kayumba msianze maneno yenu.
Ni kauli yenye uzito sana kudadadeki. Yani hapo tu ndipo mzizi wa migogoro katika ndoa.Wee hiyo poverty entera through the door love escapes through the window usiidharau kabisa.....ndio number one cause of marital problems.
Ofcourse, it can not be neccessarily money if you both have a mutual understanding. Kukosekana kwa pesa ghafla wakati ilikuwepo kuna solvika kwa mipango yenu wawili tu.So the root cause of marital turbulence is MONEY?
Mkuu hvi mwanamke akikunyanyasa Sana during hard times ...je Ni busara kuendelea kua nae pale Mambo yakirudi kua poa?Ofcourse, it can not be neccessarily money if you both have a mutual understanding. Kukosekana kwa pesa ghafla wakati ilikuwepo kuna solvika kwa mipango yenu wawili tu.
The problem is when one of the spouses gets annoyed with the situation and decides to be harsh and unsupportive while pushing blames to the other partner.
But if both parties decide to take responsibility during such tough times then the bond gets even more better.
NB: Siongei kwa kukandamiza ila ni ukweli kuwa wanawake wa kileo hawako tayari ku take responsibility kama ilivyokuwa kwa mama zetu huko kitambo. Haimaanishi walikuwa hawapitii ugumu wa kiuchumi ila they were supportive patners na sio walalamishi.
Ila kwa sasa mwanaume ukioa kama breadwinner ikatokea namna mipango imeyumba ukawa huna kitu i assure you that you are just 1 step before divorce. Utakuwa very depressed na mke badala ya kuwa supported emotionally. Mwanamke atakunyanyasa mno during that hard time.
duh!!Ndoa ni package!
Kuna Platinum, Gold, Silver, Wood, Feather etc kila Moja na uzito wake.
Nionavyo Mimi, ndoa ni kwa watu wasiokamilika (imperfect people). Ikiwa mtu anajihisi ni perfect person, aachane na ndoa aendelee na biashara zingine. Itamfaa!

Yaani utatukanwa matusi ya ajabu mpaka ushangae.Ofcourse, it can not be neccessarily money if you both have a mutual understanding. Kukosekana kwa pesa ghafla wakati ilikuwepo kuna solvika kwa mipango yenu wawili tu.
The problem is when one of the spouses gets annoyed with the situation and decides to be harsh and unsupportive while pushing blames to the other partner.
But if both parties decide to take responsibility during such tough times then the bond gets even more better.
NB: Siongei kwa kukandamiza ila ni ukweli kuwa wanawake wa kileo hawako tayari ku take responsibility kama ilivyokuwa kwa mama zetu huko kitambo. Haimaanishi walikuwa hawapitii ugumu wa kiuchumi ila they were supportive patners na sio walalamishi.
Ila kwa sasa mwanaume ukioa kama breadwinner ikatokea namna mipango imeyumba ukawa huna kitu i assure you that you are just 1 step before divorce. Utakuwa very depressed na mke badala ya kuwa supported emotionally. Mwanamke atakunyanyasa mno during that hard time.
Acha tu mkuu na ndio maana vijana tunakuwa waoga kuoa tunaona bora tuendele na Trial Mode tu. Unaonja hapa...pale...kule n.kYaani utatukanwa matusi ya ajabu mpaka ushangae.
Huo ndio ukwwli ambao ata wazazi inabidi waelewe. Vijana kweli tungependa kuoa lakini vipato tia maji tia maji ...wenzetu hawa wengi wao hawana uvimilivu mambo yakiyumba. Sasa bora tugegede tuu bila kupeana stress za ajabu ajabu.Acha tu mkuu na ndio maana vijana tunakuwa waoga kuoa tunaona bora tuendele na Trial Mode tu. Unaonja hapa...pale...kule n.k
Maana vipato vyetu wengi ni vya kuunga unga tu.
Hapa majibu ya jinsia ya mtu na mtu mmoja na mwingine lazima yatofautiane. Fundamental question is why do you get married?Je mwanamke anapo olewa..Anachofuata Ni Mali za mwanaume Yaaani Magari, magorofa na mfanowe?
Je anafuata urafiki, uhusiano, Mapenzi ya dhati, kufanya Mapenzi, Utulivu wa nafsi au Heshima?
Je ukipewa Hizo pesa na magari na majumba..ukawa tajiri alafu mwanaume akawa anaonekana kwa nadra Sana utakuwa na furaha?
Je furaha ya kweli katika Mapenzi / ndoa Ni pesa?
Kuna usemi nausikiaga... When poverty enters the door love flies out of the window.
Tell me guys...what makes a happy marriage... Is it money or is it the man?
I like to think I need a man first, his presence is Vital then other factors can be considered.
What do you guys think?
N.B Hiyo English Tia maji Tia maji nilifundishwa na mwalimu wangu Ticha** Shamim... Mlosoma kayumba msianze maneno yenu.
Huo ndio ukwwli ambao ata wazazi inabidi waelewe. Vijana kweli tungependa kuoa lakini vipato tia maji tia maji ...wenzetu hawa wengi wao hawana uvimilivu mambo yakiyumba. Sasa bora tugegede tuu bila kupeana stress za ajabu ajabu.