zahirshuffernoor
Senior Member
- Sep 29, 2015
- 165
- 27
Wewe ni poyoyo
Huyu Ni Mnafki Sana Hadi Kauwa Upinzani Kigoma!
Dah,
![]()
Kweli kabisa,,
Kumbukeni Zito Kabwe hakuwa kwenye muungano wa waliotoka.
Haya fafanueni unafiki wa Zitto.
leo ndo nimemkubali zitto hafwati upepo kufanya ujinga ujinga, pia hayuko ukawa na walokubaliana kutoka ni ukawa
Huyu jamaa ni mnafiki kiwango cha juu kabisa anatafuta huruma ya ccm
Hawa sio aina ya viongozi tunaowataka wako radhi tutimiza matakwa yao na kuacha matakwa ya watz
Swala la znz sio la kulifumbia macho kabisa ni lazima watz tukatae huu ufinyangwaji wa katiba
Watu wanafuta uchaguzi bila sababu ya msingi leo mnakuja wasifu kuwa wanademokrasia huu ni ujinga
HALAFU WANASEMA CHAMA KINA MWANASHERIA SIJUI
KAZI YAKE NINI, AKILI ZA KUSHIKIWA MBAYA SANA
ALAFU BADO NA DOLI LAO KAMA POWER BANK, KAMA
NDIO MLIO TUMWA NA WANANCHI WENU HAYO
ENDELEENI, hawa jamaa wa cdm sio wastaharabu hata
kidogo ni
wahuni sijui nani anaendekeza huu upuuzi wao naona
kama wanawalealea sana, znz tume bado haijatangaza
raisi ni nani maana yake bado raisi ni yule yule
aliyekuwepo madarakani ss hapo kipi kigumu kuelewa,
mambo mengine si yakukariri ni ya kuelewa jamani
Hakuna mwanasiasa asiye mnafiki...wanachotofautiana ni kiwango tu cha unafiki...