Unafki wa karne wa Zitto Kabwe

Unafki wa karne wa Zitto Kabwe

Lakini sidhani kama Zitto amefanya kosa nyinyi si mlimfukuza chadema kwanini mnataka afuate sera zenu wakati yeye siyo mwana ukawa anajua alichotumwa na wananchi wake, kitendo cha wabunge wa upinzani kuzomea ni cha kijinga sana na kwa mtu anayeshabikia hili naye ni.......... hovyo kabisa.

Ulitaka wabunge wafanye nini labda ni lini njia za kidiplomasia zimezaa matunda tz kuna migogoro kibao lakin ikiwa upande wa serikal tu ujue haki ni lazima ipindishwe au wewe hauoni haya?

Sasa wewe ambae unasupport haya na ambae ametoka na kuzomea bungeni nani hovyo?

Ili ilikuwa ni njia ya kuweza fikisha ujumbe kwa maana njia zote zimeshindikana hivyo iyo ilikuwa ni last resort
 
Kwa hiyo ulitaka aambatane na hao wahuni kisa na yeye hakubaliani na urais wa Shein.Kila chama kina misimamo na reactions tofauti juu ya ku-deal na mambo wasiyokubaliana nayo.For your info,Zitto hahusiki wala kufungamana tena na misimamo ya kipumbuvu.Walioimba Lowassa fisadi kwa miaka 8 halafu ghafla wakaanza kuimba ni muadilifu ndo wanafiki wasioelezeka sema msiojitambua ndo mtaji wao.You numbskulls gonna lay eggs this time.
 
Kwa hiyo ulitaka aambatane na hao wahuni kisa na yeye hakubaliani na urais wa Shein.Kila chama kina misimamo na reactions tofauti juu ya ku-deal na mambo wasiyokubaliana nayo.For your info,Zitto hahusiki wala kufungamana tena na misimamo ya kipumbuvu.Walioimba Lowassa fisadi kwa miaka 8 halafu ghafla wakaanza kuimba ni muadilifu ndo wanafiki wasioelezeka sema msiojitambua ndo mtaji wao.You numbskulls gonna lay eggs this time.

mkuu ogopa sana wapumbavu wakiwa kwenye kundi kubwa yaani jamaa wanataka zitto awaunge mkono wakat walifanya jitihada za kumpiga chini
 
mkuu ogopa sana wapumbavu wakiwa kwenye kundi kubwa yaani jamaa wanataka zitto awaunge mkono wakat walifanya jitihada za kumpiga chini
Tatizo wapumbavu hujiamini sana Mkuu!Hata aibu huwa hawaoni.
 
Zitto huwa anaonyesha misimamo yake na maoni yake kwenye mitandao tu, lakini si mtu wa VITENDO, ni manafiki wa kiwango cha juu! Katika hali ya kisiasa ya wakati huu kusifiwa na mpinzani wako ni nadharau kubwa sana.
 
Zitto kwa kusimamisha wagombea ubunge 240 na kushinda kiti kimoja, pamoja na kusimamisha mgombea urais mwanamke na kumtembeza nchi nzima na kuambulia kura 96,000 (Sawa na kura za Janken Kasambala na Fahmi Dovutwa aliyepiga kampeni Kilwa Kivinje pekee) ilitakiwa apate fundisho la namna ya kuendana na siasa za Tanzania. Kwa sasa ni bora aachane na siasa za upinzani na kujiunga na CCM kwa vile habari yake ndio inaisha katika bunge hili. Kwa kweli leo amechanga karata zake vibaya na ameanza vibaya. Bora angelala nyumbani asiingie bungeni kuliko kubaki na kuonekana ni CCM
 
HALAFU WANASEMA CHAMA KINA MWANASHERIA SIJUI
KAZI YAKE NINI, AKILI ZA KUSHIKIWA MBAYA SANA
ALAFU BADO NA DOLI LAO KAMA POWER BANK, KAMA
NDIO MLIO TUMWA NA WANANCHI WENU HAYO
ENDELEENI, hawa jamaa wa cdm sio wastaharabu hata
kidogo ni
wahuni sijui nani anaendekeza huu upuuzi wao naona
kama wanawalealea sana, znz tume bado haijatangaza
raisi ni nani maana yake bado raisi ni yule yule
aliyekuwepo madarakani ss hapo kipi kigumu kuelewa,
mambo mengine si yakukariri ni ya kuelewa jamani
 
Huyu jamaa ni mnafiki kiwango cha juu kabisa anatafuta huruma ya ccm

Hawa sio aina ya viongozi tunaowataka wako radhi tutimiza matakwa yao na kuacha matakwa ya watz

Swala la znz sio la kulifumbia macho kabisa ni lazima watz tukatae huu ufinyangwaji wa katiba

Watu wanafuta uchaguzi bila sababu ya msingi leo mnakuja wasifu kuwa wanademokrasia huu ni ujinga

Mrema and Cheyo in new shape.
 
leo ndo nimemkubali zitto hafwati upepo kufanya ujinga ujinga, pia hayuko ukawa na walokubaliana kutoka ni ukawa
 
Hakuna mwanasiasa asiye mnafiki...wanachotofautiana ni kiwango tu cha unafiki...

Eti hao waliotoka nje ndiyo siyo wanafiki.

Mwaka huu ndiyo nimeelewa hii sentensi yako, hasa pale tulipoambiwa na Tundu Lissu eti tupeleke ushahidi wa Lowassa kuwa fisadi wakati yeye alishawahi kutuhakikishia kuwa Lowassa ni fisadi na ushahidi anao.

Zitto Kabwe pia alishawahi kusema usimwamini mwanasiasa yeyote.
 
Back
Top Bottom