Unafki wa karne wa Zitto Kabwe

Unafki wa karne wa Zitto Kabwe

Akili za ukawa bana
Kwahiyo walichofanya ukawa ndio fomula lazima kuifuata?
 
Zit to is a genius!wanakigoma tumekutuma kazi so kunywa viroba nakuanza kupayuka.Ungetika nje nungekudharau mnoooo
 
Leo kadhihirisha rangi zake halisi hata kwa waliokuwa hawajamwelewa. Kwa hiyo uhalisia kati ya Usaliti na uzalendo umekuwa katika 'Blacka and white'

Ulitaka afanyaje?? Kwan yeye ni UKAWA?
 
Ulitaka wabunge wafanye nini labda ni lini njia za kidiplomasia zimezaa matunda tz kuna migogoro kibao lakin ikiwa upande wa serikal tu ujue haki ni lazima ipindishwe au wewe hauoni haya?

Sasa wewe ambae unasupport haya na ambae ametoka na kuzomea bungeni nani hovyo?

Ili ilikuwa ni njia ya kuweza fikisha ujumbe kwa maana njia zote zimeshindikana hivyo iyo ilikuwa ni last resort

Kufikisha ujumbe kwa kuzomea kama watoto wa chekechea,

Sijaafiki.
 
Zitto kwa kusimamisha wagombea ubunge 240 na kushinda kiti kimoja, pamoja na kusimamisha mgombea urais mwanamke na kumtembeza nchi nzima na kuambulia kura 96,000 (Sawa na kura za Janken Kasambala na Fahmi Dovutwa aliyepiga kampeni Kilwa Kivinje pekee) ilitakiwa apate fundisho la namna ya kuendana na siasa za Tanzania. Kwa sasa ni bora aachane na siasa za upinzani na kujiunga na CCM kwa vile habari yake ndio inaisha katika bunge hili. Kwa kweli leo amechanga karata zake vibaya na ameanza vibaya. Bora angelala nyumbani asiingie bungeni kuliko kubaki na kuonekana ni CCM

Zitto ni Mpinzani, na waliotoka nje ni wapinzani lakin UKAWA,
Zitto si mwanaUKAWA ulitaka atoke amfuate nani sasa.
 
HALAFU WANASEMA CHAMA KINA MWANASHERIA SIJUI
KAZI YAKE NINI, AKILI ZA KUSHIKIWA MBAYA SANA
ALAFU BADO NA DOLI LAO KAMA POWER BANK, KAMA
NDIO MLIO TUMWA NA WANANCHI WENU HAYO
ENDELEENI, hawa jamaa wa cdm sio wastaharabu hata
kidogo ni
wahuni sijui nani anaendekeza huu upuuzi wao naona
kama wanawalealea sana, znz tume bado haijatangaza
raisi ni nani maana yake bado raisi ni yule yule
aliyekuwepo madarakani ss hapo kipi kigumu kuelewa,
mambo mengine si yakukariri ni ya kuelewa jamani

Wanaelewa ila wanajitoa ufahamu,
Kusema Maalim Seif bungen kwan Maalim Seif kishapewa urais??
Wanajaribu kuwapotosha wananchi ila kwa hili la leo hata wananchi huko mitaani hawajasapoti,
Walichofanya ni utoto kama sio ulevi.
 
Na kweli mkuu, huyu zitto ni msaliti haswa na amepigiwa makofi naona roho yake saaaaafi wala haya haoni, ni majuzi tu alisema anaitaka tume ya uchaguzi znz kuendelea kutangaza matokeo, kama ni mpinzani unakuwa mpinzani na wenzio au chama tawala:what:

Wenzake wakina nani wkt hawamtambui km ni mwenzao,
Zitto hana mwenzake pale mjengoni, wenzake ni wananchi waliompa dhamana ya kuwawakilisha, full stop.
 
Zitto ni mbunge mwenye hali ngumu sana..ukawa haimtambui Kama mwenzao sasa angetoka vipi na kufuata misimamo isiyomhusu???
 
Chadema lazima wafanye hayo waliyo fanya ili kumridhisha aliyekinunua chama kuwa wapo pamoja. Maana pesa wamezitafuna, uraisi wamekosa unadhani nini kimebaki zaidi ya haya wanayofanya. Na bado tutaona mengi sana miaka hii 5
 
Nakumbuka huyu zito aliwahi zomewa bungeni kipindi cha 6
 
Hivi kuwa mpinzani mpaka uwe kwa wapiga dili ukawa wanaoongozwa na falsa ya nguvu ya pesa
 
Back
Top Bottom