MSUMARI WA MOTO
JF-Expert Member
- Oct 25, 2015
- 461
- 224
Bora CHADEMA walifukuzia mbali hili takataka, lingewasumbua sana!
Na kweli mkuu, huyu zitto ni msaliti haswa na amepigiwa makofi naona roho yake saaaaafi wala haya haoni, ni majuzi tu alisema anaitaka tume ya uchaguzi znz kuendelea kutangaza matokeo, kama ni mpinzani unakuwa mpinzani na wenzio au chama tawala:what:
Akuna mnafiki kama mbowe
Hakuna mwanasiasa asiye mnafiki...wanachotofautiana ni kiwango tu cha unafiki...
Huu ni ukweli usiopingika....ndio maana tunasema upinzania kuja kutawala nchi hii itachukuwa miaka mingi sana.
Chadema acheni ujinga na utoto. Ivi kutokuafiki jambo ni lazima upige mikelele au uzomee zomee? Madada wa cdm achen ujinga. Wananchi hawataki hayo.
Hakuna mwanasiasa asiye mnafiki...wanachotofautiana ni kiwango tu cha unafiki...
Huyu jamaa kumbe sio msaliti pekee pia ni mnafiki..to the nth degree