Lakini sidhani kama Zitto amefanya kosa nyinyi si mlimfukuza chadema kwanini mnataka afuate sera zenu wakati yeye siyo mwana ukawa anajua alichotumwa na wananchi wake, kitendo cha wabunge wa upinzani kuzomea ni cha kijinga sana na kwa mtu anayeshabikia hili naye ni.......... hovyo kabisa.
Kwa hiyo ulitaka aambatane na hao wahuni kisa na yeye hakubaliani na urais wa Shein.Kila chama kina misimamo na reactions tofauti juu ya ku-deal na mambo wasiyokubaliana nayo.For your info,Zitto hahusiki wala kufungamana tena na misimamo ya kipumbuvu.Walioimba Lowassa fisadi kwa miaka 8 halafu ghafla wakaanza kuimba ni muadilifu ndo wanafiki wasioelezeka sema msiojitambua ndo mtaji wao.You numbskulls gonna lay eggs this time.
Tatizo wapumbavu hujiamini sana Mkuu!Hata aibu huwa hawaoni.mkuu ogopa sana wapumbavu wakiwa kwenye kundi kubwa yaani jamaa wanataka zitto awaunge mkono wakat walifanya jitihada za kumpiga chini
Huyu jamaa ni mnafiki kiwango cha juu kabisa anatafuta huruma ya ccm
Hawa sio aina ya viongozi tunaowataka wako radhi tutimiza matakwa yao na kuacha matakwa ya watz
Swala la znz sio la kulifumbia macho kabisa ni lazima watz tukatae huu ufinyangwaji wa katiba
Watu wanafuta uchaguzi bila sababu ya msingi leo mnakuja wasifu kuwa wanademokrasia huu ni ujinga
Hakuna mwanasiasa asiye mnafiki...wanachotofautiana ni kiwango tu cha unafiki...
Ha ha ha umenifurahisha Zitto Zuberi Mrema!!!Huyu ni Zitto Zuberi Mrema. Kuwepo kwake pale ni kuonyesha anamuunga mkono Shein kama Rais wa SMZ tofauti na zile kauli zake za awali