unafikiria nin sasaivi???????

Nawaza kumiliki Mochwari....na kujenga vituo vya police na kuwapangisha...
 
Hubby popote ulipo nakuwaza wewe kwa wakati wote bhaaaaaaassssiiiii!
 
kwani beibe nasty kazi yake nini?

BeibeNasty vua miwani ya mbao! Unamana haya unayoulizwa nikujibie mie tena? Ntafanya kazi ngapi ?
Hebu mtoshe huyu jamaa! Si unajua kachanganyikiwa tangu majuzi "Ze Muhtasi katibu" amtoe nishai ! Kila kitu anauliza kwa mzio wa kutoswa
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…