Kazi zipi?sisi Hawa, tunao fanya kazi zisizo na kikomo? Hakuna malipo ya uzeeni. Hakuna over time nabado tunakomaa?Ni uvivu tu wa kufanya kazi
Sisi Hawa tunao Lima "kahawa ", ikivunwa tunapangowa wakumuuzia kwa Bei anayo itaka?
Ni sisi Hawa tunao lima "mahindi" yakivumwa tunabaki nayo Huku jirani zetu wakifa njaa?
Uvivu upi anao usema ?
Wakusoma? Kama kusoma tunasoma sana hadi kidato Cha sita, nawqkati hio tukiwa hatujui tunasomea nini? Kama unabisha ,muulize mhitimu yeyote wakidato chasita ana ujuzi gani, leta majibu hapa.
Akipatikana mwenye ujuzi uliopatikana drasan Mimi ntajinyonga hadharani Huku nikilekodiwa.
Sisi sio wavivu itafutwe sababu ya umasikini wetu.