Unafikiri nini chanzo cha umaskini Afrika?

Unafikiri nini chanzo cha umaskini Afrika?

Je, unafikiri nini chanzo cha umaskini Afrika?
Roho mbaya na ubinafsi wa baadhi ya viongozi Afrika, uporaji wa rasilimali kupitia wazungu wa baadhi ya wahuni wachache wa kiafrika kuhongwa na kusababisha Vita miongoni mwetu,
TUKIUNGANA WAAFRIKA WOTE TUKAWA KITU KIMOJA TUKAKATAA KUPIGANISHWA NA WAZUNGU AFRIKA ITASONGA MBELE.
 
Hatusomi. Hatuko tayari kuwekeza kwenye uzalishaji na ugunduzi.
Wengi wa matajiri wetu ni wachuuzi wa daraja la juu tu. Ni kweli wafanya biashara wanahitajika lakini bila ya kuzalisha tutabaki kuwafanyia biashara wengine.
 
Hakuta taifa litakaloendelea kwakutegemea misaada and adventure toka magharibi and Ulaya. ..impossible mbaya zaidi ukiende against wao wanakufilisi kwakua wao hawana rasilimali wanategemea Africa...anglia walichomfanyia Mugabe kosa tu alowanyanga'anya wazungu ambao wenye hizo biashara wapo connected na mabosi wa West+Europe.
But Africa is the richest continent in the world.
 
Roho mbaya na ubinafsi wa baadhi ya viongozi Afrika, uporaji wa rasilimali kupitia wazungu wa baadhi ya wahuni wachache wa kiafrika kuhongwa na kusababisha Vita miongoni mwetu,
TUKIUNGANA WAAFRIKA WOTE TUKAWA KITU KIMOJA TUKAKATAA KUPIGANISHWA NA WAZUNGU AFRIKA ITASONGA MBELE.
Hio kuungana nakua km US ni moja ya vitu vilivyosababisha Gaddafi kuuliwa.Wazungu hawataki sikia hio kitu
 
SIASA SAFI NA UONGOZI BORA, hapo kwenye uongozi bora nakazia kwamba kwa asilimia 70 viongozi wetu ndio wanatukwamisha, kila nikitizama viongozi karibu wote wa Africa sioni tofauti.
 
Dini hasa za waarabu.
Uvivu
Wivu
Elimu mbovu
Lishe duni
Siasa za hovyo
Kodi kandamizi.

#MaendeleoHayanaChama
Hakuna mataifa ya waraabu yenye uchumi mkubwaa? Point yako ya kwnza ni ishara kuwa ww pia ni masikin wa kifikra
 
Hakuna mataifa ya waraabu yenye uchumi mkubwaa? Point yako ya kwnza ni ishara kuwa ww pia ni masikin wa kifikra

Waarabu wana uchumi mkubwa sababu wana rasilimali mafuta. Hata wasipojituma mafuta yapo ardhini kibao...
 
Waarabu wana uchumi mkubwa sababu wana rasilimali mafuta. Hata wasipojituma mafuta yapo ardhini kibao...
Sio kweli mambo sio rahis hivo, na kingne kama ufahamu miongoni mwa race ambazo mzungu amekuaa anazihofia ni hao waraabu
 
Sio kweli mambo sio rahis hivo, na kingne kama ufahamu miongoni mwa race ambazo mzungu amekuaa anazihofia ni hao waraabu

Wanahofia mafuta. Pamoja na waarabu kujilipua kwao mabomu..

Mzungu anaogopa kufa, huku mwarabu haogopi kufa
 
Hio kuungana nakua km US ni moja ya vitu vilivyosababisha Gaddafi kuuliwa.Wazungu hawataki sikia hio kitu
Tuungane kifikra tuwe na umoja thabiti tuambiane ukweli tuwafichue hao wachache wenye mabwana wa kizungu wanaoendeshwa na wazungu tuzitrack fedha wanazotumiwa na mabwana zao tu track silaha zisiingie ovyo zisizo za serekali fulani.
#very easy,
#Rais wetu mstaafu JMK ikimpendeza aanzishe vuguvugu hili tuwe na special unifications kwa future ya afrika yetu.
 
Tunakazania ukosefu wa siasa safi na uongozi bora na kudhani kwamba watu tunao. Hakuna taifa ambalo halina watu. Tafauti ni watu wa aina gani.
Hawa viongozi au watawala wanatoka miongoni mwetu. Wanaakisi sisi tulivyo.
 
Tatizo kubwa linalofanya Africa kuwa masikini ni viongozi tu, hakuna kingine. Viongozi wa hizo nchi.
Wanafanya kazi kwa kujuana na wana endekeza rushwa.

Wapo kimaslahi binafsi,wanajijengea makundi ya utawala Ili wapige kiulaini.

Hawapo kwa maslahi ya mataifa Yao.
 
Wananchi hatuna akili,wananchi wakiwa na akili na viongozi watakuwa na akili.

Sometime tusiwalaum viongozi wetu je sisi wananchi tuna akili?maana ni kelele tu tunapiga amna jambo la maana tumewai fanya kuonesha serikali yetu kuwa wananchi wenu sisi sio machizi tuna akili timamu.
Uingereza siasa Kali Sana lakini pia wanalinda Sana legacy na raslimali za nchi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom