Toka 1960 tunahangaika na Umeme na Maji ya uhakika kwa watu wetu kweli?Akili ipi hiyo inayohitajika ambayo sisi hatuna?
Toka 1960 tunahangaika na Umeme na Maji ya uhakika kwa watu wetu kweli?Akili ipi hiyo inayohitajika ambayo sisi hatuna?
Kwamba ni kosa kuumbwa akina Dangote?Kosa la Mungu kuwaumba waafrika!😀😀😀😀😀
UbinafsiJe unafikiri nini chanzo cha umaskini africa?
Akang'atuka baada ya kukosa hela za kuendesha serikali.. mbona unauliza mambo yaliyo wazi? Mwl. Nyerere anasema; ili tuendelee mahitaji makuu ni manne tu;
Jiulize, Afrika ina ardhi? Afrika ina watu? Afrika inakosa nini ili iendelee? Tafakari.
- ardhi
- watu
- siasa safi
- uongozi bora.
Ni kweli ila sidhani kama sababu ni ukosefu wa akili, tunaweza kutumia akili kubwa kwenye mambo mengine hivyo sidhani kuwa tatizo ni kukosa akili za kuweza kutatua changamoto za tokea miaka ya 60.Toka 1960 tunahangaika na Umeme na Maji ya uhakika kwa watu wetu kweli?
Vircious poverty of Cycle ndio chanzo cha umaskini hapa.Je unafikiri nini chanzo cha umaskini africa?
Sasa mtu kama Lowassa kwa mfano ambaye hela anazo hana njaa ndio tuseme akiingia madarakani ana nafasi kubwa ya kufanya maendeleo kwa sababu hana njaa hivyo hatofanya ufisadi?Ttz la waafrika wengi n wabinafsi na wezi wa rasilimali za serikali zao kwa viongozi kwanzia kata,tarafa,wilaya mpk ngazi za kimataifaa na watu wakawaidaa hvyo n ngumu kupata maendeleo,raisi anaingiaa madarakan ana njaa kuliko unategemea akuletee maendeleo ww au ailetee familia yake maendeleo,Africa inatakiwa kutawaliwa tena............
Uongozi mbovuJe unafikiri nini chanzo cha umaskini africa?
NdioKwahiyo unataka kusema mzungu hata akizaliwa afrika na kukulia afrika bado atakuwa na ubora kama wazungu wengine?
HahahahaaaaKosa la Mungu kuwaumba waafrika!😀😀😀😀😀
Kwanza elimu,pili viongozi,tatu siasa chafu na mwisho upevu wa fikra.Je unafikiri nini chanzo cha umaskini africa?
Be blessed.Thanks..internal conflicts
.poor education system
.food insecurity
.lack of democracy .poor leadership
.lack of good government policies
.tribalism and religionism
.lack of technology
Ndiyo maana yake angalia nchi zilizokaliwa na Wazungu kwa muda mrefu kama vile Afrika Kusini,Namibia,Zimbabwe nk.Kwahiyo unataka kusema mzungu hata akizaliwa afrika na kukulia afrika bado atakuwa na ubora kama wazungu wengine?