Unafikiri nini chanzo cha umaskini Afrika?

Unafikiri nini chanzo cha umaskini Afrika?

Dini hasa za waarabu.
Uvivu
Wivu
Elimu mbovu
Lishe duni
Siasa za hovyo
Kodi kandamizi.

#MaendeleoHayanaChama
Waarabu wazungu waliotuletea dini wapo njema kwenye nchi zao ukilinganisha na nchi za Africa.tusiwaangushie jumba bovu wakati shida tunayo sisi wenyewe.
 
Sio waafrika wote bali watu weusi ata wale walio Latin America nao ni masikini tuu kama sisi wa Sub-Sahara.. Tuna IQ ndogo na hatuwezi kufikiria sawa sawa na sio lazima kuwa PhD holder kutambua hilo
 
Wengi wanaishi katika giza

Kweli haifahamiki kwa wengi hivyo kuishi uongo.

Tena wengi hawataki kuijua kweli
 
Akili.
Majibu yote ni sahihi ila kubwa ni kwamba Waafrika tumepunjwa akili na Mungu kwa makusudi kabisa.
Hivi kulikuwa na haja gani Magufuli kuwa na walinzi mpaka wa kukodi kama si akili ndogo?
 
Ushirikina, ubinafsi, kuendekeza ngono, kutokuwa na utaratibu maalumu wa maisha (mdaaa huu ukipigiwa simu kuitiwa wine 🍷 na mahali penyewe pana msondo ngoma unatoka ka nyoka aloko pangoni asikiapo mziki), extended families etc
Kuendekeza ngono itoe hapo. Wadhungu wanaendekeza ngono na bado wanafanya maendeleo. Kodi zao za porno industry ndio zinakuka kitujengea sie vyoo mashuleni
 
Dini hasa za waarabu.
Uvivu
Wivu
Elimu mbovu
Lishe duni
Siasa za hovyo
Kodi kandamizi.

#MaendeleoHayanaChama

Mbona waarabu siyo maskini kama waafrika? Na bila ya waarabu ungestaarabika kweli wewe?
 
Viongozi wa Afrika wamehalalisha rushwa, wizi na ufisadi kwenye ofisi za umma.
Kivipi?
Ofisi moja mkurugenzi mkuu analipwa sh. 24 na mtunza kumbukumbu analipwa sh.laki 3.6
Hapo hawajampa ruhusa mtunza kumbukumbu kupokea rushwa?
 
Mbona waarabu siyo maskini kama waafrika? Na bila ya waarabu ungestaarabika kweli wewe?
Waarabu wajanja. Wao walishakubiana na fact kwamba baada ya mungu ni mdhungu. Hivyo basi kwa kuwa wamebarikiwa mafuta na lengo ni kuishi vizuri, ajiri mzungu akufanyie maendeleo.

Nchi una serengeti, zanzibar, selou, lake victoria, dhahabu, almasi, tanzanite bado unashindwa kuwa donor country!
 
Wazungu si ndiyo mabeberu au?
 
Chanzo cha umaskini wetu Africa ni viongozi wetu kuwa;
walafi
wabinafsi
matapeli
mafisadi
waongo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom