bado sijaamini pamoja na kumkoboa magamba yote nufu mfu lakini bado anajipendekeza kwa ccm? nafikiri msumari wa mwisho wa yeye na pacha wake sitta ndiyo huu kwamba waliudanganya umma kuhusu Richmond - nasubiri movie ianze.Watu wa JF wanamwabudu mwakyembe kama Mungu na wanamwita JEMBE. Hawawezi kukuelewa kama mwakyembe ni janga kuliko maelezo lakini anajua kucheza na media na akili za watanzania.
ningekuwa mimi ningeachana na siasa na kurudi kwa familia yangu niwaombe radhi kwa yote yaliyotokea.