Jacobus
JF-Expert Member
- Mar 29, 2011
- 4,707
- 1,729
Hata bwana mkubwa alituthibitishia HAWAJUI wamiliki wake!!!!!!!!Pomoja na kasha zote kuhusu symbion bado oh mama kaenda kuizindua. Shame on us!
Hata bwana mkubwa alituthibitishia HAWAJUI wamiliki wake!!!!!!!!Pomoja na kasha zote kuhusu symbion bado oh mama kaenda kuizindua. Shame on us!
Hivi hapa kosa la Mwakyembe na Sitta ni lipi? Kamati ya bunge iliyoongozwa na Mwakyembe kazi yake kubwa ilikuwa ni kuchunguza uhalali wa mkataba wa Richmond pamoja na uwezo wa kampuni yenyewe wa kuzalisha umeme na ilidhihirika kwamba mkataba ulikuwa na matatizo na kampuni yenyewe haikuwa na uwezo, kwa hiyo hapo kosa la hao watu ni lipi?
ni kweli na hii ni gharama ya kushabikia wanasiasa bila kuangalia historia zao
Ndiyo maana kuna wakati ninafika naona kwa kweli pamoja na mambo mengine rais Kikwete ni mvumilivu. Ebu jaribu kuwaza jinsi watu hawa walivyokuwa wanatangaza kila mahali wanataka kuuliwa na kwamba wanachukiwa sana kwa kuwa ni wapenda haki na wafichua mafisadi. Lakini rais kwa kujua ni njaa zao tu na uchu wa madaraka alipowapa uwaziri wote wametulia kana kwamba hawajawahi kuliletea taifa hili hasara za ajabu. Hivi mitambo hii si ndiyo ile Zitto alisema serikali iinunue wakamjia juu. Sasa kiko wapi? Sitta na Mwakyembe wana kesi ya kujibu kama siyo hapa duniani basi mbinguni. Halafu mbaya zaidi sana wote ni wanasheria.
Kuna watu sifahamu ni kulewa uzalendo wa chama/vyma vyao vya kisiasa au ni kutumiwa na mafisadi ndiko kunawapelekea kutumia ufinyu wa kutafakari mambo kudharau au hata kupuuzia mchango mkubwa ambao MH. Mwakyembe, Sitta na Maagufuli wameuleta katika zama hizi ngumu.. Unapotumia mahaba ya kichama kuliko ubongo matokeo yake huwa ni kuwa mtumwa wa fikra na ueledi.. TAIFA KWANZA, CHAMA BAADAE...!!
NB:Najua kuna wale wepesi wa hoja na wazito wa mantiki wataandika comment za ina ya "project Lumumba".. Thibitisheni udogo wa uelewa wenu kwa kuundika kile ambacho ninakitegemea.

We ni zaidi ya mpuuzi.ni --------.nyau we.lete hoja na si umbea
Mchango wa Sita ni kujenga office ya Spika Ulambo Tabora, Mwakyembe kuingiza Tanesco mkenge kuvunja mkataba na Dowans = fine 90 billion USD, Magufuli kubomoa petrol station, Mahakama kuu kuamuru sarikali ilipe zaidi ya Billion 20. Hiyo ndio baadhi ya michango yao kwa jamiiKuna watu sifahamu ni kulewa uzalendo wa chama/vyma vyao vya kisiasa au ni kutumiwa na mafisadi ndiko kunawapelekea kutumia ufinyu wa kutafakari mambo kudharau au hata kupuuzia mchango mkubwa ambao MH. Mwakyembe, Sitta na Maagufuli wameuleta katika zama hizi ngumu.. Unapotumia mahaba ya kichama kuliko ubongo matokeo yake huwa ni kuwa mtumwa wa fikra na ueledi.. TAIFA KWANZA, CHAMA BAADAE...!!
NB:Najua kuna wale wepesi wa hoja na wazito wa mantiki wataandika comment za ina ya "project Lumumba".. Thibitisheni udogo wa uelewa wenu kwa kuundika kile ambacho ninakitegemea.