Hotuba ya ripoti ilisomwa kwa mbwembwe nyingi, aliejiuzulu alijiuzulu kwa jazba, na tuliambiwa kuwa yapo mengi ambayo hayakuzungumzwa. Sasa tumejua baadhi ya ambayo hayakuzungumzwa, kilichokuwa haramu hatimae kimekuwa halali. Kweli kitanda hakizai haramu.