bucho
JF-Expert Member
- Jul 13, 2010
- 5,172
- 3,265
Dowans wameshinda kesi ya Kimataifa , fedha wanalipwa, mitambo walioisema chakavu imeuzwa na ndiyo inatumika mpaka leo.
Hawa wameisababishia taifa hasara kubwa sana. Kama serikali ingenunua hii mitambo tungekuwa tumekwepa kununua umeme kwa gharama kubwa sana.
Hawa watu hawastaili kuwa viongozi kabisa. Chuki walizokuwa nazo kwa Lowassa zimekuja kuigharimu nchi.
HAWA WATU NI HATARI KWA TAIFA HILI NI WAKUOGOPWA KULIKO UKIMWI