Siungani kabisa na kilichofanywa na wafusi wa CCM kuhusu bango lao na nahisi ya kuwa limevupa mipaka na la kibaguzi na walioandika ni wajinga wa kutokujua demographic makeup ya Zanzibar.Na nimefurahi sana kuona ya kuwa limekemewa na watu wa pande zote. Juu ya yote hayo la kusikitisha Zaidi watu wako too selective. Kwani kampeni za kibaguzi zimeanza siku nyingi sana ZNZ na kusema kweli Zanzibar ubaguzi upo tena umefikia hali mbaya sana na kwa bahati mbaya unasababishwa na wana siasa wa pande zote mbili.
Wale ambao leo wanapiga zogo ya ku ni victim ya huo ubaguzi ukiangalia katika social media zao na katika mikutano yao utasikia Balozi seif Ali iddi ni nyani aliyekimbia from jozani au wengine wamefika kuandika ya kuwa amekimbia kongo na arudi kwao kutoka kongo. Au utawasikia ya kuwa muda wa machogo kwenda kwao umefika na wamefika mbali zaidi na wengine hata kusema utawala wa mkoloni mweusi umefikia tamati.Sasa yote hayo yako kwenye social media na yanakuwa backed up na viongozi wa chama CUF lakini huyasikii kuzungumzwa au kukemewa utayaona ya maandishi ya bango la kisonge(kijiwe cha CCM) tu ( nayo pia sikubaliani nayo).
Hivi leo Zanzibar ukiwa CCM na ukikosoa policy za CUF utasikia wewe si mzanzibar wewe umekuja tu hapa, na utarudi kwenu Tanganyika baada ya kupata nchi yetu.. sasa jamani hiyo si xenophobic nayo? Au jamaa zangu kutoka Pemba wao siku zote ni wako NOBLE na wengine ambao wana mawazo tofauti nao basi ni makafiri.
Nimesikitishwa na lile bango lakini nimefurahi wamefanya vile... kwani kitendo chao kile ninaamini kitaanzisha mjadala mkubwa sana Zanzibar kuhusu ubaguzi na kitaongeza awareness kwa watu na kuona jinsi gani ubaguzi ulivyotapakaa katika jamii yote ya kizanzibar na kuwafichua wale wanafiki ambao ubaguzi uko katika nafsi zao lakini wakigiswa wao tu wanaanza kulalama kwa sauti kubwa ya kuwa wamebaguliwa huku wakisahau ya kuwa wao walishiriki kikamilifu katika kuweka foundation ya ubaguzi Zanzibar.
P.S Seif Sharif Hamad ili kupata polical supremacy Zanzibar baada ya kufukuzwa CCM alianzisha dhana ya ubaguzi ya upemba kwa kusema aliondolewa CCM kwa sababu ya upemba na hakupewa uraisi 1985 kwa sababu yeye ni mpemba na huku akisahau he own shortcoming ndiyo zilizopelekea demise yake. Wakati hii sasa raisi SHEIN ni mpemba kujitetea kwao wanasema si mpemba sasa sijui kwa vigezo vipi?