Unafiki wa siasa za Zanzibar

Unafiki wa siasa za Zanzibar

Ni kweli. Mzizi na chimbuko la migogoro ya kisiasa Zanzibar ni ubaguzi kati ya tabaka mbili sawa na zilizoko Burundi kati ya Watusi na Wahutu. Mzee Karume alitolea ufumbuzi wa tatizo hilo ni kuoleana , na yeye akatoa demo. Tatizo zoezi hilo lilishindwa kuwa endelevu. Tufanye nini sasa?
Jee zoezi hili lifufuliwe?
Ubaguzi wa Zanzibar uko more complex than Burundi na Rwanda. Na cha kusikitisha Zaidi hao wabaguzi wakubwa wanajifanya wacha mungu mno, hebu hamjawahi kujiuliza mtu kutoka Pemba anaweza kufanya kazi sehemu yeyote Unguja bila ya wasi wasi lakini mtu wa unguja kwenda Pemba kufanya kazi ni mtihani mkubwa mno unless uwe na mwenyeji ambae anaweza kukukingia kifua au kuzungumza na watu wa pale kama si hivyo maisha yako yatakuwa magumu.
 
Back
Top Bottom