Unafiki wa siasa za Zanzibar

Unafiki wa siasa za Zanzibar

Lakini ukiangalia lina ukweli fulani au vipi?
Ukweli ni predjudice tu kuelekea katika aina flani ya watu wa asili flani!

Ukweli halisi ni kuwa CCC ilishindwa ktk uchaguzi wa oktoba last year, ha ha wako tayari kuachia madaraka!
 
Mkuu kubali umekanyaga ganda LA ndizi!... huwezi kusikitishwa at the same moment ukafurahishwa! Hii haiwezi kutokea kwa mtu mtimilifu wa akili, huwezekana mwa vichaa tu! Even logic can not buy it!

Katika kuoesha matamanio yako ya kulaumu pande mbili katika andishi lako, alipaswa kutafuta namna nyingine ya kuwa neutral na sio kwa jinsi uliyotumia!

Ni kweli Watu wa unguja na Pemba ni wabaguzi, amabao unahistoria pana kwa taifa hilo LA kisiwa. Lakini kujenga hoja kwa kusapoti hiki kilichofanywa na waanda.anaji wale wa CCM ktk sherehe ambazo wao wanaita " mapinduzi matukufu" haukuwa sawa. Period

Kusema kweli nimefurahi limetokea hilo kwani lisinge tokea tusichukua muda wa kuzungumzia ubaguzi uliopo Zanzibar bali watu wangeendelea kuufumbia macho na kuona kama hau exist.Mimi naamini bango hilo litakuwa ni chachu na mageuzi katika jamii ya kizanzibar na huko mbele Nagemea watu wataishukuru hiyo event ilikuwa ni mwanzo wa kupinga ubaguzi Zanzibar. Ni sawa na mtu kusema nimefurahi niliwahi kufeli katika biashara au elimu kwani kufeli kule kumempa somo na ikawa ni kichocheo cha mafanikio yake.Na naamini hizo reaction ambazo zimetolewa kutokana na bango hilo hazitoku knee jerk response bali watu watakaa na kutunga sharia ya kukabiliana na tatizo hizo. Hope utakuwa umefahamu, kama umeshindwa kufahamu mimi sitochoka nitaelezea Zaidi mpaka logic ya point yangu ikuingie akili.

Na hiyo function ilikuwa ni function ya CCM na siyo SMZ.
 
Mkuu nimekusoma sana! Cuf wanaposema utawala wa mkoloni mweusi wanamahana gani na ukingia in deep utaona kuna chechembe za ubaguzi. na la pili kwanini kama wewe nimgeni hurusiwi kumiliki ardhi unguja mahana mie kuna brother angu walimkatalia kumpa ardhi japo aliowa mtoto wao na kuzaa naye .Zanzibar ubaguzi hupo kwa wote kati ya cuf na ccm! Pendekezo langu uwongozi wa ccm msikubali msisubutu kuiyachia nchi kilahisi lahisi kama wanvyotaka hao cuf
 
Democracy lazima iheshimiwe
 
Mkuu nakuunga mkono sana tena narudi tena nakuunga mkono ww unapokemea kitu flani kisifanyike basi na ww usikifanye sasa wewe unakemea halafu baadaye ww unafanya kile kile utaelewekaje hapa ttzo la ubaguz zanzibar halikuanza kwa ccm, ccm wanachofanya ni kujibu mashambulizi cuf ni wabaguz sana sana zanzibar na kama hulijui hlo basi tembelea zanzibar utakutana navyo nyie wote mpo inchi mmoja kwann unamuona mwenzako hana haki ya kuishi hapo wakat wote ni wtz huo n ubaguz kwahyo walichofanya ccm c kizuri lakin ni somo pia kwao kuwa ubaguz ni mbaya na haufai kufurahia na wao pia wasifanye kama inawauma
 
View attachment 316490
WEWE NI MIONGONI MWA WALE WALIOANDIKA LILE BANGO LA UBAGUZI>>>>
Na hili jee
machotara2.jpg
 
Ubaguzi ni sera ya ccm.

Haswaa!!! bila ya kusahau wakati wa bunge la katiba. CCM walileta ubaguzi wa hali ya juu mpaka Pro. Lipumba akawaita Interehamwe. CCM Hawawezi kubadilika kamwe. Kwenye CCM kuna lundo la Maprofessa na wasomi wengi tu lakini mara tu wanapochukua kadi ya CCM basi wanakuwa mijinga ya kutupwa! Maskini Pro. ndalichako, Pro. Muhongo, Pro. magembe. Prof. Kapuya. dr. Possi, Dr. mahiga na wengine tele ambao elimu zao wameziweka pembeni kuendeleza Ujinga na Ubaguzi! Kweli tutafika
 
According to BARAKA SHAMTE ''Historically Unguja na Pemba zilikuwa ni nchi mbili tofauti". Kama hivyo ni kweli, kwanini kuanzia sasa Wapemba wasirudi kwenye history badala ya kutaka kutawala Zanzibar na sasa kuanza kampeni rasmi ya kitaifa na kimataifa kwa kutumia nguvu ya sheria ya Kimataifa kudai Pemba iwe nchi kamili yenye kujitawala itakayotambulika kimataifa. Hii inatokana na ubaguzi na unyanyasaji mkubwa wanafanyiwa Wapemba kisiasa, kijamii na kiuchumi. Leo hii ukijulikana kama ww mpemba iwe ktk taasisi ya umma au binafsi hata ktk jamii basi unaanza kunyanyaswa. The only solution now ni kuanzisha national and international campaign legally kudai kisiwa cha Pemba ili kiweze kujitawala kiwe na rais wake na mamlaka zake zitazojiongoza. Unguja na Tanganyika zitakuwa ni miongoni mwa nchi marafiki wakitaka urafiki. Ujumbe huu ufike kwa maalim Seif aachane na kuwang'anga'ania ccm hawa wamenuwia hawatoi serikali kwa. Mpemba ambaye sio zuzu na mbumbumu hata cku moja. Kama hamuamini, angalieni uchaguzi wa marejeo mtaona cha mtemakuni.
Wewe kichwa cha samaki mbona wapemba walikwenda ubalozi wa UN kudai Pemba yao matokeo yake walikamatwa usiku wakaletwa tanganyika
 
Tutajie

Tutajie mkuu
Katibu mkuu wa kilimo, katibu mkuuu wa katiba na sharia, katibu mkuu wa afisi ya makamo wa raisi hiyo ni mifano. na inaonyesha hata idea huna ya unachokiongea
 
Yan itafika pahala hatutataka kuckia kauli yoyote kutoka kwa mtu yeyote aliyekuwa, aliyepo na mwenye mwelekeo kimwonekano, kimtazamo na hata kwa hisia tu kuwa atakuwa ccm, hata kama anasema kitu gan. Hii itakuwa baada ya rais aliyepo kutomeet expectations za wananchi.
 
K

Ushaolewa ?
Wallahi ujitambui na usitake nikupasue kichwa wewe kibaraka wa warabu. Nyie mnapo sema utawala wa mkoloni mweusi mnamaana gani. ACHA USHOGA MIE SIO MWARABU anaye penda jicho kama unataka kutolewa bikila nenda kwa warabu wako wanao kutumia
 
QUOTE="Mhadzabe, post: 15082769, member: 15966"]" Nimesikitishwa na lile bango lakini nimefurahi wamefanya vile".....Kwa kauli hii nashindwa kuelewa je popo ni ndege au mnyama?
Si useme tu hatuwapendi machotara ambao tunawaita masalia ya Hizbu?[/QUOTE]
Chotara aliyezaliwa na muasisi wao
 
According to BARAKA SHAMTE ''Historically Unguja na Pemba zilikuwa ni nchi mbili tofauti". Kama hivyo ni kweli, kwanini kuanzia sasa Wapemba wasirudi kwenye history badala ya kutaka kutawala Zanzibar na sasa kuanza kampeni rasmi ya kitaifa na kimataifa kwa kutumia nguvu ya sheria ya Kimataifa kudai Pemba iwe nchi kamili yenye kujitawala itakayotambulika kimataifa. Hii inatokana na ubaguzi na unyanyasaji mkubwa wanafanyiwa Wapemba kisiasa, kijamii na kiuchumi. Leo hii ukijulikana kama ww mpemba iwe ktk taasisi ya umma au binafsi hata ktk jamii basi unaanza kunyanyaswa. The only solution now ni kuanzisha national and international campaign legally kudai kisiwa cha Pemba ili kiweze kujitawala kiwe na rais wake na mamlaka zake zitazojiongoza. Unguja na Tanganyika zitakuwa ni miongoni mwa nchi marafiki wakitaka urafiki. Ujumbe huu ufike kwa maalim Seif aachane na kuwang'anga'ania ccm hawa wamenuwia hawatoi serikali kwa. Mpemba ambaye sio zuzu na mbumbumu hata cku moja. Kama hamuamini, angalieni uchaguzi wa marejeo mtaona cha mtemakuni.
"Dhambi ya ubaguzi ni sawa na kula nyama ya mtu...."
 
safi mkuu umegusa jipu sijui nani anaweza tumbua jipu la aina hiyo. hawa jamaa big mouth wakati ndio offenders wakubwa. bantus wamekua on the receiving end always kwenye hii kitu ya ubaguzi
Siungani kabisa na kilichofanywa na wafusi wa CCM kuhusu bango lao na nahisi ya kuwa limevupa mipaka na la kibaguzi na walioandika ni wajinga wa kutokujua demographic makeup ya Zanzibar.Na nimefurahi sana kuona ya kuwa limekemewa na watu wa pande zote. Juu ya yote hayo la kusikitisha Zaidi watu wako too selective. Kwani kampeni za kibaguzi zimeanza siku nyingi sana ZNZ na kusema kweli Zanzibar ubaguzi upo tena umefikia hali mbaya sana na kwa bahati mbaya unasababishwa na wana siasa wa pande zote mbili.

Wale ambao leo wanapiga zogo ya ku ni victim ya huo ubaguzi ukiangalia katika social media zao na katika mikutano yao utasikia Balozi seif Ali iddi ni nyani aliyekimbia from jozani au wengine wamefika kuandika ya kuwa amekimbia kongo na arudi kwao kutoka kongo. Au utawasikia ya kuwa muda wa machogo kwenda kwao umefika na wamefika mbali zaidi na wengine hata kusema utawala wa mkoloni mweusi umefikia tamati.Sasa yote hayo yako kwenye social media na yanakuwa backed up na viongozi wa chama CUF lakini huyasikii kuzungumzwa au kukemewa utayaona ya maandishi ya bango la kisonge(kijiwe cha CCM) tu ( nayo pia sikubaliani nayo).

Hivi leo Zanzibar ukiwa CCM na ukikosoa policy za CUF utasikia wewe si mzanzibar wewe umekuja tu hapa, na utarudi kwenu Tanganyika baada ya kupata nchi yetu.. sasa jamani hiyo si xenophobic nayo? Au jamaa zangu kutoka Pemba wao siku zote ni wako NOBLE na wengine ambao wana mawazo tofauti nao basi ni makafiri.

Nimesikitishwa na lile bango lakini nimefurahi wamefanya vile... kwani kitendo chao kile ninaamini kitaanzisha mjadala mkubwa sana Zanzibar kuhusu ubaguzi na kitaongeza awareness kwa watu na kuona jinsi gani ubaguzi ulivyotapakaa katika jamii yote ya kizanzibar na kuwafichua wale wanafiki ambao ubaguzi uko katika nafsi zao lakini wakigiswa wao tu wanaanza kulalama kwa sauti kubwa ya kuwa wamebaguliwa huku wakisahau ya kuwa wao walishiriki kikamilifu katika kuweka foundation ya ubaguzi Zanzibar.

P.S Seif Sharif Hamad ili kupata polical supremacy Zanzibar baada ya kufukuzwa CCM alianzisha dhana ya ubaguzi ya upemba kwa kusema aliondolewa CCM kwa sababu ya upemba na hakupewa uraisi 1985 kwa sababu yeye ni mpemba na huku akisahau he own shortcoming ndiyo zilizopelekea demise yake. Wakati hii sasa raisi SHEIN ni mpemba kujitetea kwao wanasema si mpemba sasa sijui kwa vigezo vipi?
f
 
Hamana hata mmoja aliyesema CCM hawafai kulaumiwa ispokuwa mjadala huu usiishie hapa tu kwani ubaguzi umeota mizizi Zanzibar na lile bango just ni tip of an iceberg. Najua mtakuja hapa na kusema siyo tatizo ubaguzi Zanzibar lakini hilo suala lipo na linaumiza society viabaya mno.
Ni kweli. Mzizi na chimbuko la migogoro ya kisiasa Zanzibar ni ubaguzi kati ya tabaka mbili sawa na zilizoko Burundi kati ya Watusi na Wahutu. Mzee Karume alitolea ufumbuzi wa tatizo hilo ni kuoleana , na yeye akatoa demo. Tatizo zoezi hilo lilishindwa kuwa endelevu. Tufanye nini sasa?
Jee zoezi hili lifufuliwe?
 
Hiyo intermarriage ipo na watu wameowana sana. lakini cha kushangaza kile kizazi cha hizo ndoa kinajiona wao ni bora Zaidi na wanajishajihisha Zaidi na uwarabu kuliko uzanzibari wao. Angalia mfano wa African American hata kama yeye only 1/8 yake ni damu ya kiafrica basi yuko proud kutambulika yeye ni muafrica lakini znz kama ana 1/16 ya uarabu basi yeye huyo ni muarabu na anajiona bora Zaidi kuliko wengine na hilo ndiyo tatizo la Zanzibar... nahisi iko more kwenye inferiority complex zaidi
 
Back
Top Bottom