Unafiki wa Hellen Kijo Bi Simba

Status
Not open for further replies.
Mtoa mada, naona kama unataka kutupotosha,hebu nenda kajipange upya...Ni kama mtoto wa darasa la pili,kutaka kumfundisha mwanafunzi wa Udaktari(MUHAS) ,somo la Biology!
 

Huyu na yule Nkya wa Tamwa mbona wote inajulikana kuwa ni pro Chadema na hawathubutu kufunua vinywa vyao kulaani mabaya ya cdm. Lakini, kwani hujui kuwa naye ni wa Kaskazini?
 
unasoma shule gani hiyo ambayo inashindwa kutoa elimu ya kujitambua mwenyewe? suala kibanda ni criminal case, na kama ni chama fulani kinahusika, peleka hizo taarifa serikali au polisi, na serikali husika au polisi watachukua hatua kwani serikali iliopo ni sikivu? au polisi na serikali kwa ujumla wanakipendelea hicho chama husika?
 

i like this. Bravo mkuu. Big up nyingi nyingi x 100
 
Nakumbuka yule waziri mkuu, yule aliekufa pale Morogoro. Alikua haongei sana, lakini alikuwa mtu wa watu kweli. Alikufa akiwa mbichi sana, lilikuwa pigo kubwa sana. kwangu.

Edward Moringe Sokoine (You are Blessed Where you are). Can you see us, can you see what is happening now in Tanzania.
 
Uliyeweka tatarifa hii yawezekana hujui,na hutaki kujua kabisa...Huyu mama kwa kweli anastahili sifa zote hasa ktk kusimamia haki bila woga....Hebu tofautisha kazi za kiumbea na professional work,yeye anafanya professional work,mbona umoja wa wanasheria wa Tanganyika umemuunga mkono,ucjali hata kama ww ni darasa la saba kama una nia ya kujifunza waweza jifunza,,,
 
Mleta uzi anaonesha taswira sahihi ya magamba! wamefanya unafiki kwa mda mlefu na ilikuwa vigumu kuhutambua lakini kutokana na maendeleo ya mawasiliano sasa wako uchi!

Hivi ktk nchi inayoongozwa na utawala wa sheria, zaidi 'serikali yenu sikivu' Dr Hellen anakosa gani? Kutimiza wajibu wake ndo aonekane anatumika na chama cha siasa? Hata kama angetumika na chama cha siasa akatetea kwa ukika haki ya mtanzania tatizo liko wapi?

Sasa mnazusha utaifa na ukabila wake mpate kumnyamazisha! Mlifanya hivyo miaka iliyopita this time around you will not. I appeal to my living God that whoever plays politicsl game for his/her personal gains be severely punished before 2014 in anyway possible! Hatuwezi kuendeleza upuuzi wa kisiasa kukudimiza watanzania.

Umefurahi kuona polisi wanampiga mwandishi channel 10 akiwa kazini? Umejiuliza ni kwa nini wafanye hivyo? Sijui kutukana ila kama kuwatakaofanya hivyo sitakuonea huruma. Tumechoka na upindishaji wa ukweli kwa mwanvuri wa siasa.
 
Chanzo cha uzi huu ( taswira ) hakiaminiki , naufunga rasmi uzi huu .
 
huyu na yule nkya wa tamwa mbona wote inajulikana kuwa ni pro chadema na hawathubutu kufunua vinywa vyao kulaani mabaya ya cdm. Lakini, kwani hujui kuwa naye ni wa kaskazini?

mnahaha kweli.mara wa rwanda, mara kaskazini.pinda kashikwa pabaya,akome.
 
Kagame kaingiaje hapa mkuu..kwa hiyo unataka kutuaminisha kwamba LHRC WANATUMIWA NA KAGAME? Hizi ni akili za samaki. l
 
Mkuu hajui kama mawakili wa Tanganyika ni mang'uli??na wako zaidi ya 4000!
 
Inawezekana neno unafiki linatafsiri tofauti na ninayoijua mimi, Bisimba mnafiki? Mh, mnafiki unaweza hadi kumshitaki PM? Hakika natakiwa kua na kumushi hapa home! Anyway, mara baada ya mauaji ya Mwangosi na yule kijana wa Morogoro, kituo anachokiongoza huyu "Mnafiki" wali file case na ikaenda The Hague.
 
jf bwana ukiambiwa ukweli juu ya utumbo uliouleta unasema tatizo chadema kumbe tatizo no huko ccm;hamkawii kuja kutukana kwa kukosa hoja km jamaa yenu aliyetoa Mapovu Lisa chadema
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…