UNAFIKI unatawala Bavicha...

Status
Not open for further replies.
Utafanyaje uspy pasipo regulations? Lazima ziwepo regulations za kumbana spy ili asimchochee anayemspy kufanya makosa ambayo kimsingi mpelelezwa hakua na dhamira ya kuyafanya. It was a dirt mission.

Lakini Bavicha waliiunga mkono na kuipongeza.

Kiongozi anaajiri watu wa kuspy viongozi wenzake na anawalipa watu hao kwa pesa za ruzuku ya Chama na kuwaahidi nafasi za uongozi!
 
Lema is a natural disaster...

Not lema at all, ccm is a natural disaster, provided you cannot defend these questions like wise you are a natural

disaster to this forum.....

1. Unamaa Pinda mnafiki kwa kumuunga mkono Radhani Ighondu kutendea madhambi Ulimboka?

2. Unamaana serikali ya ccm ni ya kinafiki kwa kuamua kumficha Ramadhani Ighondu-Usalama wa taifa kwa kutesa na kujeruhi ulimboka?

3. Unamaana serikali ya ccm ni ya kinafiki kwa kulifungia mwanahalisi kwa kuweka hadharani madhambi na utesaji wa usalama wa Taifa (Ramadhani Ighondu) kwa ulimboka.

4. Unamaana serikali ya ccm ni ya kinafiki na kikwete pia kwa kumpandisha cheo

i. Andengenye baada ya kuamuru mauwaji kwa raia wasio na hatia Arusha?

ii. Kamuhanda baada ya kuamuru mauwaji kwa mwandishi wa habari kule nyororo iringa

Hebu fafanua tafadhali..............

Narejirea maswali yangu kwako na sio niko nje ya mada jadili na leta majibu sahihi kwa maswali haya hapa chini kulingana na hoja yako hapo juu. Acha majibu ya kitoto au nimmoja wa waliohitimu chini ya kawambwa na Mulugo?

Muulize Anna makinda kwanini amekalia ushahidi wa jinsi Pinda alivolidanganya Bunge na watanzania kwa ujumla wake

kuhusiana na mauwaji ya watanzania wasio na hatia Mjini Arusha?

Uko nje ya mada...
 
Chadema ni chama kinachoendeshwa katika misingi ya kilaghai...

kwahiyo haya ndiyo majibu ya maswalia haya chini?

1. Unamaa Pinda mnafiki kwa kumuunga mkono Radhani Ighondu kutendea madhambi Ulimboka?

2. Unamaana serikali ya ccm ni ya kinafiki kwa kuamua kumficha Ramadhani Ighondu-Usalama wa taifa kwa kutesa na kujeruhi ulimboka?

3. Unamaana serikali ya ccm ni ya kinafiki kwa kulifungia mwanahalisi kwa kuweka hadharani madhambi na utesaji wa usalama wa Taifa (Ramadhani Ighondu) kwa ulimboka.

4. Unamaana serikali ya ccm ni ya kinafiki na kikwete pia kwa kumpandisha cheo

i. Andengenye baada ya kuamuru mauwaji kwa raia wasio na hatia Arusha?

ii. Kamuhanda baada ya kuamuru mauwaji kwa mwandishi wa habari kule nyororo iringa

Hebu fafanua tafadhali..............

Narejirea maswali yangu kwako na sio niko nje ya mada jadili na leta majibu sahihi kwa maswali haya hapa chini kulingana na hoja yako hapo juu. Acha majibu ya kitoto au nimmoja wa waliohitimu chini ya kawambwa na Mulugo?

Chadema ni chama kinachoendeshwa katika misingi ya kilaghai...

Hakika. Nikikumbuka Lema alienda UK akapiga picha na helcopter na kuwadanganya misukule kuwa ameinunua kwa ajili ya M4C. ni miaka miwili imepita lakini mpaka kesho hakuna cha chopa wa nini.
 
Vijana wa chadema wanatumika kama Kondom,hususan wa kanda yao ndio kabsaaaaa!!!! hata ukuadi wanakubali hata kama ana elimu Chuo,mfano Mrombo Ben saa 8.
 
Hakika. Nikikumbuka Lema alienda UK akapiga picha na helcopter na kuwadanganya misukule kuwa ameinunua kwa ajili ya M4C. ni miaka miwili imepita lakini mpaka kesho hakuna cha chopa wa nini.

Lema alifanya fundraising Dar es Salaam kwa ajili ya kununua helikopta . Watu wakahoji sh ngapi zimepatikana? Mpaka leo hakuna jibu. Helikopta wameambulia picha tu!
 
Vijana wa chadema wanatumika kama Kondom,hususan wa kanda yao ndio kabsaaaaa!!!! hata ukuadi wanakubali hata kama ana elimu Chuo,mfano Mrombo Ben saa 8.

Mida Eight ni mtumishi wa Josephine Mushumbusi...
 
chadema kamwe haiwez kuchukua ingawa kitabaki kuwa cha cha upinzan,kimepoteza malengo yake,hakina mbinu mpya zaid ya maandamano,binafsi sijaona tanzania mpya kutoka cdm
 
Ben Saanane kawa threat kwa ustawi wa wasaliti na Maccm.
 
Huyo ni mlaghaika. Baada ya ID yake ya Jason Bourne kugundulika ameona aje na hii ya Asha Mohamed wa Doha!

Huyu ni mtu wa ajabu anayestahili kuonewa huruma...

Dr ZeMarcopolo huyu pimbi asha mohamed ukimfuatilia vizuri akili yake inafanana jinga moja laitwa matola kwa 100% tulishamsoma.
 
Last edited by a moderator:

Nahisi ume-comment ukiwa chooni, yaani hili limefungwa hayo unayotaka yaendelee wewe kama nani?
 
ZeMarcopolo and WanajaJF,

Mosi,Hakuna mahali popote iwe kwenye vikao au mahali pengine nilipowahi kutamka haya yaliyoandikwa hapa.Labda mleta mada alete ushahidi hapa.JF ikiwa mleta mada hataleta ushahidi wa haya ikiwa ni pamoja na minutes za vikao achukuliwe hatua kwa kusema uongo.Nampa masaa 3 .

Pili,Tamko langu kuhusu PM-7 lipo huku.

Tatu,Kama nilipongezwa kwa kiwango anachodai mleta mada hapa sasa iweje nipewe adhabu ya kusimamishwa kugombea nafasi yoyote kwa muda wa mwaka 1 sambamba na onyo kali

Nashukuru Mungu uchaguzi haukufanyika mwaka huu kama ilivyopangwa maana ningekosa haki ya kuchaguliwa.Mipango ya Mungu si kama mipango yetu wanadamu

Nne,Naomba niweke hili very clear.Sijawahi kuwa au kutumiwa na Dr.Slaa au kiongozi yeyote wa CHADEMA kwa maslahi binafsi.

Hizi ni hoja mufilisi na visingizio vya washirika wangu wa Zamani katika mkakati haramu waliokasirishwa na kitendo changu cha kusimamia maslahi ya chama na kuwaanika hadharani baada ya mimi binafsi kufanya kazi kubwa ya kuwasihi waache mpango huo maana wangekivuruga chama

Kwa muda wa takribani siku 345 hadi leo hii wamekua wakinishambulia na kunitukana lakini mwisho wa siku walikiri kupanga njama chafu.Ukweli siku zote husimama juu ya unafiki,usaliti na njama ovu za kuuficha ukweli.Kilichotokea Alhamisi iliyopita ni Matokeo ya jitihada za ukweli uliofanikiwa kulipa kisasi baada ya kupuuzwa kwa muda mrefu

Tano,WANACHADEMA,Wapendamabadiliko na watanzania kwa ujumla nawaahidi kuendeleza mapambano na wale wote wanaozuia harakati za mabadiliko ndani na nje ya chama chetu

Nitaendelea kusimamia misingi ya chama chetu na taifa bila kuchoka hadi tone langu la mwisho la damu.Namuomba mwenyezi Mungu anipe nguvu na ujasiri katika mapambano haya.Tuwapuuze wale wote wanaojaribu kututoa katika mstari wa mapambano.

Katika harakati hizi za mabadiliko na malengo ya CHADEMA kitaasisi katika kuongoza vuguvugu hili Doctrine yangu ni 'It's either you are with us or against us'.Hakuna middleground hata kama dunia ni three dimension.Kipimo nitakachompimia msaliti yeyote wa mabadiliko haya ndani ya chama hakitakua na tofauti na kile nitakachotumia dhidi ya wapinzani na maadui wa mabadiliko nje ya chama.

CC: Invisible, Fang, Buchanan, Paw, PainKiller Moderator
 
Last edited by a moderator:

Kuna vitu unaweza kupinga lakini sio uspy ambao Bavicha walikupongeza.

Huu ulaghai mnauzidisha sasa. Hata Henry Kilewo leo alikana kuwa hakuweka waraka kwenye website yake!

Ulaghai wenu unakaribia kikomo.

"Mida Eight anatumiwa na Slaa kugombanisha viongozi" - waraka
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…