Unafiki huu mpaka lini? Kila Zuri sifa Rais, Umeme ukikosekana lawama kwa Waziri

Huu mwenendo hautusaidii Watanzania. Na umeletwa na CCM kwa sababu zao za kutaka fikra ziwe kwenye uchaguzi tuu.

Inakuwaje kila jambo jema linalofanywa na Serikali hii ya CCM sifa anapewa Rais na hasa mambo haya yalianzia kwa Magufuli na sasa yameota mizizi.

Lakini Serikali hiyo hiyo inaposhindwa jambo mfano hili janga la Umeme sasa hivi husikii akitajwa Rais Samia wala Serikali ya CCM bali January Makamba.

Au mambo ya Wamachinga, ukosefu wa maji Dar, kushindwa kwenye michezo, ukosefu wa ajira nk Rais hahusishwi kabisa bali yeye wanasubiri avae gwanda la Jeshi basi maccm yote yanalundikana kumsifu tuu.

Huu unafiki utatufikisha wapi? Jee hawajui kuwa kuficha donda ni kulifanya liwe donda ndugu?
U Communist ni Shida
 
Hiyo ndio ccm bhana ! mwenye hela nyingi mezani ndio huyo huyo
 
Sifa za Magufuli zilikua halali,aliitendea haki nafasi ya ukuu wa nchi ,kwa ni kinyaa tupu
 
Mdau hadi sasa kuna gape nakushauri agiza contena la electric generators utauza mapema kabisa..... Wapiga deal wapo kazini..... Ongeza kipato mzee.... Kupiga domo sahizi sio deal..... Deal ni mutembea na gap.....
 
Arusha,Morogoro,Mwanza,Tabora,Kahama,Singida Leo hii Hakuna Umeme
na Jitu linaingia Wizarani na Michuki kwa JPM Mtu hatunae tena
Tanesco Inarudi Nyuma Miaka 10 Kutoka sasa
Inakera sana
Hata huku Njombe hakuna umeme
 
Huu mwenendo hautusaidii Watanzania. Na umeletwa na CCM kwa sababu zao za kutaka fikra ziwe kwenye uchaguzi tuu.

Inakuwaje kila jambo jema linalofanywa na Serikali hii ya CCM sifa anapewa Rais na hasa mambo haya yalianzia kwa Magufuli na sasa yameota mizizi.

Lakini Serikali hiyo hiyo inaposhindwa jambo mfano hili janga la Umeme sasa hivi husikii akitajwa Rais Samia wala Serikali ya CCM bali January Makamba.

Au mambo ya Wamachinga, ukosefu wa maji Dar, kushindwa kwenye michezo, ukosefu wa ajira nk Rais hahusishwi kabisa bali yeye wanasubiri avae gwanda la Jeshi basi maccm yote yanalundikana kumsifu tuu.

Huu unafiki utatufikisha wapi? Jee hawajui kuwa kuficha donda ni kulifanya liwe donda ndugu?
Unafiki tukiofundishwa na kulelewa nao nchi hii sidhani kama uko sehemu yeyote duniani. Hapa ndiyo kitovu chake na CCM ndiyo waasisi.

Sijawahi ona wala kusiki nchi ambayo Makamu wa Rais, Waziri Mkuu, CDF, IGP, Spika na JAJI MKUU wote wanajikomba kwenye ule mhimili uliojichimbia zaidi. Only in Tanzania.....!!
 
Hakuna uwazi, kama kuna mgao inatakiwa isemwe wazi na watu wajue ratiba zao ili wakinge vifaa vyao lakini inachukiza kuona umeme unakatika watu wote wanalalamika anakuja waziri anasema hakuna mgao wa umeme. Bunge limeshindwa kuleta hoja ya dharura waambie kuna nini kinaendelea. Au jamani watu wameshaanza kampeni Mama wanamfanyia figisu kabisa nchi imshinde, sasa Mama hana watu wake wakujuwa nini kinaendelea hapa. wamekaa kimya kama mambo yako vizuri tu leo unasikia issue ya maji. Mimi sijawahi kuwa mpenzi wa JPM lakini katika hili aliwezaje leo hii kaingia Makamba tu mabalaa yameanza.
 
Back
Top Bottom