Unafiki huu mpaka lini? Kila Zuri sifa Rais, Umeme ukikosekana lawama kwa Waziri

Huu mwenendo hautusaidii Watanzania. Na umeletwa na CCM kwa sababu zao za kutaka fikra ziwe kwenye uchaguzi tuu.

Inakuwaje kila jambo jema linalofanywa na Serikali hii ya CCM sifa anapewa Rais na hasa mambo haya yalianzia kwa Magufuli na sasa yameota mizizi.

Lakini Serikali hiyo hiyo inaposhindwa jambo mfano hili janga la Umeme sasa hivi husikii akitajwa Rais Samia wala Serikali ya CCM bali January Makamba.

Au mambo ya Wamachinga, ukosefu wa maji Dar, kushindwa kwenye michezo, ukosefu wa ajira nk Rais hahusishwi kabisa bali yeye wanasubiri avae gwanda la Jeshi basi maccm yote yanalundikana kumsifu tuu.

Huu unafiki utatufikisha wapi? Jee hawajui kuwa kuficha donda ni kulifanya liwe donda ndugu?
We call it genius thinking outside the box. Umetisha sana mkuu Chakaza.unatakiwa uwe upgraded kwenye JF GT

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Mnafiki namba moja ni Samia Suluhu, aliyekuwa msaidizi wa mwendazake sasa hivi anafumua kila sehemu!

Inabidi apumzishwe!
 
Hujawasikia Chama Cha Manafiki wakisema hadi 2030 eti kwa utendaji wake uliotukuka? Yaani nyama zinaoza kwenye fridge huo ni utendaji bora? Vijana saloon zao wanafunga kutwa nzima, welding hazifanyiki nk huo wote ni utendaji bora hasa kwa vile akivaa combat za jeshi anapendeza.
Nadhani kama Sub woofer ya mjengoni ili kiri ina faili Mirembe jee wangapi ndani ya chama hilo hawana mafaili?
 
Mm ni mmatengo lakini niliposikia kifo Cha jamaa Yule nakuonyesha kusikitika nikaitwa sukuma gang

haya Sasa ngoja tuwaone yaani mlishindwa kutumia akili hata macho kuona kuwa jamaa anafanyakazi.
Haya Sasa pambaneni na mama yenu anayeweka waziri form four failure kwenye sekta ya nishati. Yaani kweli Leo nimejua wabongo hamna akili kwahiyo mlijua kua makamba ataleta tija. Eti waziri aliyepita alikua sukumagang kwahiyo mama ameona amtoe amuweke mtu ambaye ataendana naye.
 
Hujawasikia Chama Cha Manafiki wakisema hadi 2030 eti kwa utendaji wake uliotukuka? Yaani nyama zinaoza kwenye fridge huo ni utendaji bora? Vijana saloon zao wanafunga kutwa nzima, welding hazifanyiki nk huo wote ni utendaji bora hasa kwa vile akivaa combat za jeshi anapendeza.
Nadhani kama Sub woofer ya mjengoni ili kiri ina faili Mirembe jee wangapi ndani ya chama hilo hawana mafaili?
Hahhaa shida sana brother!
 
Huu mwenendo hautusaidii Watanzania. Na umeletwa na CCM kwa sababu zao za kutaka fikra ziwe kwenye uchaguzi tuu.

Inakuwaje kila jambo jema linalofanywa na Serikali hii ya CCM sifa anapewa Rais na hasa mambo haya yalianzia kwa Magufuli na sasa yameota mizizi.

Lakini Serikali hiyo hiyo inaposhindwa jambo mfano hili janga la Umeme sasa hivi husikii akitajwa Rais Samia wala Serikali ya CCM bali January Makamba.

Au mambo ya Wamachinga, ukosefu wa maji Dar, kushindwa kwenye michezo, ukosefu wa ajira nk Rais hahusishwi kabisa bali yeye wanasubiri avae gwanda la Jeshi basi maccm yote yanalundikana kumsifu tuu.

Huu unafiki utatufikisha wapi? Jee hawajui kuwa kuficha donda ni kulifanya liwe donda ndugu?
CCM ni kusanyiko la waharifu tupu
 
Back
Top Bottom