Unafanyaje?

MwanajamiiOne

Platinum Member
Jul 24, 2008
10,470
6,562
Kwanza nilishikwa na hacra juu yake, nikajiuliza ana matatizo gani huyu mdada? hakika niliamini kuwa either hana akili timamu au ni limbukeni wa mawazo. Yaani nikawaza miaka mi3 tangu mtengane, mwanaume hana contacts kabisa na wewe pamoja na kuwa na mwanaye unayemhudumia kwa kila kitu, bado anamfikiria na kumuingiza katika kila shauri la maisha yake! Hakika sikumwelewa! hata kama walioana kisheria wakatendeana vya kutendeana, but, mume akaenda kivyake, na mke na mtoto wakakaa kivyake .

Lakini baada ya kutulia nikajiuliza
1. Unafanyaje iwapo umri unakwenda nawe unatamani kuwa na mtoto hata kama situation yako ni complicated?
 
:juggle:

Unataka mtoto wa nje ya ndo au ndani ya ndoa.

...swali zuri sana...
:poa
 
desperate situations needs desperate measures

au labda atafute sperm donor...na sijui tz kama huduma hiyo ipo..
 
samahan kidogo mj1...

unazungumza apo juu "ana matatizo gani huyu mdada?"...alaf sentenzi za chini zinazofuata zinamzungumzia "mkaka"....

alaf baada ya kusema hayo naomba ni-log out...nitarudi bidae kaa vip...

...hahah, mpwa....usitumie katiba kuhukumu kesi hii...
mdahalo huu ukitaka kuufaidi usome << backwards<< ...anzia;

Unafanyaje iwapo umri unakwenda nawe unatamani kuwa na mtoto...

kisha endelea na;

miaka mi3 tangu mtengane, mwanaume hana contacts kabisa na wewe pamoja na kuwa na mwanaye unayemhudumia kwa kila kitu, bado anamfikiria na kumuingiza katika kila shauri la maisha yake!...
 
samahan kidogo mj1...

unazungumza apo juu "ana matatizo gani huyu mdada?"...alaf sentenzi za chini zinazofuata zinamzungumzia "mkaka"....

alaf baada ya kusema hayo naomba ni-log out...nitarudi bidae kaa vip...

Hebu ukishalog-in tena usome kwa makini utanielewa.
 
...hahah, mpwa....usitumie katiba kuhukumu kesi hii...
mdahalo huu ukitaka kuufaidi usome << backwards<< ...anzia;

kisha endelea na;

Mh! Soulmate! naona semantic imechukua asilimia kubwa zaidi ya maudhui ya thread?! Ama kweli............
 
Ukaona hapa hapatoshi eh?! Wa nje na ndani ndo wakoje?
Wa nje ni wanje tu, na wa ndani ni wandani tu.

Wa nje unajichagulia mwenyewe umpendaye, na wa ndani huna ujanja lazima huyo huyo.

Umesikia au bado, mana wengine mpaa mtumie wireless microphone spekaer ndo wanasikia.
 
Kwanza nilishikwa na hacra juu yake, nikajiuliza ana matatizo gani huyu mdada? hakika niliamini kuwa either hana akili timamu au ni limbukeni wa mawazo. Yaani nikawaza miaka mi3 tangu mtengane, mwanaume hana contacts kabisa na wewe pamoja na kuwa na mwanaye unayemhudumia kwa kila kitu, bado anamfikiria na kumuingiza katika kila shauri la maisha yake! Hakika sikumwelewa! hata kama walioana kisheria wakatendeana vya kutendeana, but, mume akaenda kivyake, na mke na mtoto wakakaa kivyake .

Lakini baada ya kutulia nikajiuliza
1. Unafanyaje iwapo umri unakwenda nawe unatamani kuwa na mtoto hata kama situation yako ni complicated?

What exactly are you talking about?
 
...Oohhh mungu wangu wee...nini tena soulmate, nini tatizo?
nahisi sihitajiki kuchangia lolote humu :A S-coffee:
...Biggie nigongee like moja hapa na mimi aisee..
mimi kwishagonga LIKE kule juu...........kakague...
 
  • Thanks
Reactions: Mbu

Similar Discussions

Back
Top Bottom