Hata najua basi
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 1,709
- 3,359
Kuna watu hawajipendi kabisa, unakuta mtu unamheshimu vizuri tu lakini hajui kuzingatia usafi wake wa mwili.
Mtu mzima, unanukaje mdomo, kwapa, miguu, masikio, au pua?
Mfano: Mambo ya faragha, ukutane na mwanamke na harufu za ajabu-ajabu lol… inakata sana! Kwa wanaume pia inakata asalaleeeee🙌
Hivi shida huwa nini? Mfano, mtu kufuga msitu wa Amazon sehemu za siri? 😳 Huoni unakua kero kwa mwenzi wako?
Kuna ugumu gani kuosha kwapa vizuri ili lisiwe shombo? Sugulia hata limao basi 😏
Unakuta mtu akivua viatu… tafrani akhaaa! Soks, unaivaa wiki nzima mfululizo. Ebooo!
Mdomo, kinywa… yeuwiiiiiiiiii 😬 Hiii sehemu ikinuka inaharibu shughuli nzima usisahau kusugua ulimi! Kama una matatizo ya mdomo, tibiwa.
Usafi wa sehemu nyeti wewe unafanyaje?
Wax, wembe, jivu, remove hair, mkasi, kipande cha chupa, kunyofoa…?
Karibuni tuzogoe 🫣👌