Unafanya nini baada ya kumaliza ku 'DO'?

Unafanya nini baada ya kumaliza ku 'DO'?

yaan ukitaka kujua idadi ya wanaJF basi weka tu kasiredi kanakohusiana ma majamboz...hahaha!!
 
nauliza boxer yangu ipo wapi!!??? nikiipata navaa afu nachapa lapa
 
What Do you normally do after
Sex??
1. Sing,
2. Laugh in a loud tone
3. Kiss ur partner in on the
forehead
4. Sleep
5. Turn to the opposite direction
6. Bite ur lover
7. Dancing
8. Thank ur mate
9. Say i need more
10. Any other (specify)
naa nza na no 3, namba 8, boflo alikataza, baada ya hapo nafanya post match analysis na kutoa feedback ya perfance, akibisha tunarudia game!!
 
What Do you normally do after
Sex??
1. Sing,
2. Laugh in a loud tone
3. Kiss ur partner in on the
forehead
4. Sleep
5. Turn to the opposite direction
6. Bite ur lover
7. Dancing
8. Thank ur mate
9. Say i need more
10. Any other (specify)

Mi inategemea na mtu kama yule wa one tym wa kuchetua, baada ya kumaliza najuta sana naona jitihada zote nilizozifanya ndio mwisho wake wa kijinga hivi ? Km wangu wa siku zote namchumu usoni halaf namwambia i lv u
 
naa nza na no 3, namba 8, boflo alikataza, baada ya hapo nafanya post match analysis na kutoa feedback ya perfance, akibisha tunarudia game!!

marekebisho, hizo reds zisomeke naanza and pferformance respectively
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom