Unafahamu nini kuhusu Andrew Chenge?

Giltami

Giltami

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2017
Messages
692
Points
1,000
Giltami

Giltami

JF-Expert Member
Joined Feb 23, 2017
692 1,000
Nimeipata fursa ya kufika anapoishi bariadi sitaki kuzungumzia undani wake kisiasa ila Kama unaamini dunian chawi upo Basi muogope Sana huyu jamaa hizi sio story za kijiwe cha kahawa mtu kila mganga bingwa kutoka shinyanga anajiona fahari kufanya kazi na huyu mtu
Anaogopeka sio shinyanga tu hata ndani ya bunge na ndani ya chama chake tena ndani ya chama ndio hagusiki usiombe ukutane na wachawi wanaotumikia uchawi katika msisha yao.
 
Giltami

Giltami

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2017
Messages
692
Points
1,000
Giltami

Giltami

JF-Expert Member
Joined Feb 23, 2017
692 1,000
Uchawi wake unajulikana kabisa na uko waziwazi “ NI MSOMI WA SHERIA KATIKA CHUO KIKUU CHA HAVARD USA/MAREKANI. Hakuna chuo kikuu kama hiki duniani, hiki ni cha kwanza na mtu akipita hapo kaiva kweli kweli!! Ndo uchawi wake huo. Jitahidi uende hapo au mwanao aende hapo ili awe mchawi kama Mtemi Chenge! Mfano mwingine wa mtu wa sheria kama yeye ni Dr Nshalla Mwenyekiti wa chama cha wanasheria Tanganyika(Tanganyika Law Society)!
Sio uchawi huo uliosema ww kiufipi jamaa kaweka vyeti vya Havard kando katengeneza maisha kupitia uchawi huu wa dunia Kama unahisi utani kagombee Jimbo lake ili uje na mrejesho wa huo uchawi wa Havard.
 
Z

zithromax

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2016
Messages
1,495
Points
2,000
Z

zithromax

JF-Expert Member
Joined Apr 26, 2016
1,495 2,000
nakumbuka sijui ni vick na mwenziye sijui akina vicky walimnyima kitu gani
 
rikiboy

rikiboy

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2017
Messages
9,502
Points
2,000
rikiboy

rikiboy

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2017
9,502 2,000
Chenge komeshaa...Hakuna kashfa kubwa Tz imempita mamaee... yani kuanzia Richmond mpaka Epaaa
 
K

KIBESENI

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2011
Messages
286
Points
250
K

KIBESENI

JF-Expert Member
Joined Jul 7, 2011
286 250
Habari zenu wakuu. Miongoni mwa watu ambao sielewi kabisa mambo yao ni mbunge wa Bariadi Mh Andrew Chenge, nasema hivyo kwasababu ni mtanzania pekee aliye tajwa sana kwenye kashfa nyingi (karibu zote zile kubwa kubwa).

Lakini pamoja na hayo huyu bwana tangu ni mfahamu amekuwa akihusishwa ktk kuongoza shughuli nyeti MF. Kwenye marekebisho ya katiba yaliyofanyika 2005 yeye ndo alikuwa mwenyekiti wa kamati hii nyeti.

Katika mchakato wa kuhitimisha katiba ya Warioba yeye alichaguliwa kwa mara nyingine kuongoza jopo la wataalamu ku finalize mambo kabla ya kumalizia hatua yamwisho.

Kwasasa huyu bwana ni Mwenyekiti wa Bunge.

Najiuliza hivi yale tuliyokuwa tukiyasikia alikuwa anasingiziwa?

Kama jibu ni hapana kwanini haungani na akina Rugemarila na Seth? Kama hahusiki ni kwanini walimsingizia yeye na si mtu mwingine?

Kwanini hata wasinge singizia mtu 1 kwa kila scandal?

Wewe unafahamu nini kuhusu Mtemi Chenge? aka Joka lenye makengeza.
JOKA LENYE MAKENGEZA=LISHETWANI LENYE MAKENGEZA
 
Prince Dos Santos

Prince Dos Santos

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2016
Messages
1,434
Points
2,000
Prince Dos Santos

Prince Dos Santos

JF-Expert Member
Joined Nov 23, 2016
1,434 2,000
Tapeli na ndumba kuu ya chama cha matahira ( ccm )
 

Forum statistics

Threads 1,307,080
Members 502,332
Posts 31,601,025
Top