Unafahamu nini kuhusu Andrew Chenge?

Unafahamu nini kuhusu Andrew Chenge?

Ilikua idd last yr...nikatoka na wanangu .hyo sehem sijawah kwennda...kulikua na mkutano Dom..so walipita pale kula...akawa anawaangalia wanangu wanavyoinjoy na jumping casstle...later akaja mwanangu akamsalimia kiinglish..ndo ikawa mwanzo wakutaka kumjua mama yao...lol..na alivyojua kabila 1 ..akanitandazia mapene...dadreeek
Mkuu ulikumbuka kinga
 
Chenge namkubali sana anajiamini; alitueleza watz tuhuma za kuweka hela nje ni Vijisenti akajiuzulu akapokelewa kwa shangwe jimboni na akawa busy kushauri serikali mambo mbalimbali ikiwemo Bunge la Katiba
Kuna wakati ccm ilikuja na kujivua gamba na akina chenge wenye kashfa wakasema watolewa mzee chenge akaendelea kuwepo na kuisaidia ccm kisheria hasa mikataba ikiwemo jengo la Uvccm
Awamu ya Tano chenge yupo ni mkiti wa Bunge
Kiufupi anatuenjoy kwasababu tuhuma dhidi yake ni za juu juu tu
 
kashifa za kishabiki utamfunga vipi chenge?,labda uamue kumuonea tu
 
Ilikua idd last yr...nikatoka na wanangu .hyo sehem sijawah kwennda...kulikua na mkutano Dom..so walipita pale kula...akawa anawaangalia wanangu wanavyoinjoy na jumping casstle...later akaja mwanangu akamsalimia kiinglish..ndo ikawa mwanzo wakutaka kumjua mama yao...lol..na alivyojua kabila 1 ..akanitandazia mapene...dadreeek

Nimekupata yupo so humble
 
Ukiona mfupa unamshinda mpaka fisi lazima ujiulize mara 2 huyo mzee inaonekana hatari,hata magufuli mwenyewe kkamshindwa- kuna kipindi aliwahi kumuongelea kisha akampotezea
 
Angekuwa wa Casicasini ungesema ana akili/mjanja sana. Lakini kwa kuwa ni kinyume chake imekuwa ni MCHAWI na sisi hawa hawa ndo wa kwanza kupinga sheria ya makosa ya mtandaoni Na. 12/2016 tukitaka "freedom of speech"
Naamini akiamua kuchukua mkondo wa sheria tajwa hapa, utakuja na povu kuwa Serikali ya awamu ya 5 ni "onevu"
Ni imani yangu hata ww mtaani kwako au group lako lolote la internet ukiitwa "MCHAWI" utaishia kufungua kesi ikiclaim "Damages".

Upo sawa ila toa hiyo kasikasini, kwa nini isiwe kusini, kweli kanda ya ziwa mmeungana kuponda kasikasini
 
Wanao sema chenge sio mzee wa ndumba wakajaribu kugombea ubunge jimbo lake waone
 
Huyo mzee baba mwenyewe anamuogopa?

Ova
 
Back
Top Bottom