Unafahamu nini kuhusu Andrew Chenge?

K

konyola

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2016
Messages
1,345
Points
2,000
K

konyola

JF-Expert Member
Joined Dec 13, 2016
1,345 2,000
Ana ma faili machafu ya viongozi wote hapa nchini kama alivyokuwa Edgar Hoover aliekuwa boss wa maisha na muasisi wa CIA ambapo viongozi wote pale US walimgwaya bila kujali vyeo vyao! Pia la joka la makengeza is very bright anaijua vizur katiba yetu na mapungufu yake bila kuifunua! Na mapungufu hayo kwa sehem kubwa aliyaweka yeye inasemekana pia ana payroll ya FBI
 
D

Dunyua

Senior Member
Joined
Mar 10, 2018
Messages
116
Points
250
D

Dunyua

Senior Member
Joined Mar 10, 2018
116 250
kwangu mimi ninamwona kama ni mtu aliyetumia muda mwingi tunaomlipa katika to mislead OUR national;parliament and he violated our constitution and all the executive code of ethics,pia amejionyesha kuwa ni mtu mpenda madaraka by all cost,sio honest na ni mwongo mkubwa;ILA ninamwona kama atakuwa mmoja wa wakimbizi wa mwanzo kabisa kuikimbia nchi once upepo utakapo badilika kuvuma,for now mwache a relax ila aelewe kuwa ipo siku nchi hii itapata ile freedom of expression,freedom of press,uchaguzi huru na haki;hata kama kutapita zaidi ya generations 3,aelewe kuwa generations zake atazipa wakati mgumu wa kujibia haya anayoyafanya;
Mkuu bahati mbaya Mungu katuumba sisi wanyonge sana….Mwafrika mnyonge anaogopa kifo cha sekunde kuliko utumwa na manyanyaso ya milele!!! Mwafrika yuko radhi aishi kama Mbwa asie na mwenyewe Maisha yake yote huku akimtukuza bwana anakuja kumtupia jalalani makomboka kuliko kusema hii inatosha na kupigana kwa ajili ya UTU wake!!!!! Hawa wazungu wanajua sana kutuhusu sisi na ndio maana hawana wasi wala mcheche. Katika binadamu walio kamili watu kama Chenge na wenzie ambao kila kukicha tunasikia wanavyotaka kutuingiza matatizo kwa mikataba muflisi….nakwambia wangekuwa wameshughulikiwa zamani gani!!!! Tena bila kuhusisha serikali au utawala. Unajua Hitler pamoja na udikteta wake wa kutisha sana na ufanisi wake katika kutisha watu alikoswa mara kibao katika majaribio ya kutoa roho yake mbaya. Majaribio mengine wala hayakuwa ya makundi ya watu bali mtu binafsi mwenye kujitolea kuiepusha jamii na nduli aliekuwa anaipoteza jamii. Huwezi sikia hayo katika jamii za Kiafrika aslan!!!! Hahahahahahaha Mobutu kafa akiwa na umri wa miaka 66 nadhani tena kwa ugonjwa pamoja na upuuzi alioufanya Congo. Mugabe katawala mpaka anashindwa kutembea kaifuja nchi mpaka basi na mifano mingi mingine!! Na hii ndio hata historia yetu inaonyesha hivyo, angalia zile picha za misafala ya watu, watu Zaidi ya 100 wanalindwa na Mwarabu mmoja na gobole lenye risasi moja moja. Msafala unatembea miezi kadhaa porini kutoka Tabora mpaka Bagamoyo na mzigo (watumwa) wote unafika salama!!!! Haya yanaendelea Mwafrika akili yake nyepesi sana tukae tujiulize sana. Kosa letu nini??!!! Na hili si la kulipuuzia hata kidogo ndio msingi haswa wa kutoweza kubadirisha hali zetu. Kwa hiyo Mkuu sio sababu ya kusoma Harvard au kuwa na akili hapana tatizo liko kwenye jamii na asili yetu. Duh basi ngoja niachie hapa!!!
 
Sijuti

Sijuti

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2014
Messages
2,980
Points
2,000
Sijuti

Sijuti

JF-Expert Member
Joined Oct 20, 2014
2,980 2,000

Duh
 
Pascal Mayalla

Pascal Mayalla

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2008
Messages
29,905
Points
2,000
Pascal Mayalla

Pascal Mayalla

JF-Expert Member
Joined Sep 22, 2008
29,905 2,000
Ilikua idd last yr...nikatoka na wanangu .hyo sehem sijawah kwennda...kulikua na mkutano Dom..so walipita pale kula...akawa anawaangalia wanangu wanavyoinjoy na jumping casstle...later akaja mwanangu akamsalimia kiinglish..ndo ikawa mwanzo wakutaka kumjua mama yao...lol..na alivyojua kabila 1 ..akanitandazia mapene...dadreeek
Kama ni Dom, then kijiwe chake ni pale NDDH, na hukaa counter mpaka time za kufunga.
Wasukuma ni watu wenye roho nzuri sana na upendo mkubwa.
P.
 
K

Kiyawi

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2011
Messages
1,510
Points
2,000
K

Kiyawi

JF-Expert Member
Joined Nov 30, 2011
1,510 2,000
HUYO MZEE NI MCHAWI SANA ANATOKA KIJIJI KINAITWA GAMBOSHI
Uchawi wake unajulikana kabisa na uko waziwazi “ NI MSOMI WA SHERIA KATIKA CHUO KIKUU CHA HAVARD USA/MAREKANI. Hakuna chuo kikuu kama hiki duniani, hiki ni cha kwanza na mtu akipita hapo kaiva kweli kweli!! Ndo uchawi wake huo. Jitahidi uende hapo au mwanao aende hapo ili awe mchawi kama Mtemi Chenge! Mfano mwingine wa mtu wa sheria kama yeye ni Dr Nshalla Mwenyekiti wa chama cha wanasheria Tanganyika(Tanganyika Law Society)!
 
N

Nkanini

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2017
Messages
1,491
Points
2,000
N

Nkanini

JF-Expert Member
Joined Jun 6, 2017
1,491 2,000
Senseless, fanya kazi kwa bidii na maarifa, utafanikiwa, acha kupiga ramli kila uchao
jibu halisi kutoka kwa mtu aliyelelewa kwenye taulo,upo brainwashed,deliquent siku atakapo ishi kama maisha yetu hapa LINGUSENGUSE ndipo utamrudia Mungu wako.
 
DOUGLAS SALLU

DOUGLAS SALLU

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2009
Messages
17,620
Points
2,000
DOUGLAS SALLU

DOUGLAS SALLU

JF-Expert Member
Joined Nov 13, 2009
17,620 2,000
Moja ya mapacha watatu na pia ni nyoka mwenye makengeza.
 
Smart911

Smart911

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2014
Messages
26,031
Points
2,000
Smart911

Smart911

JF-Expert Member
Joined Jan 3, 2014
26,031 2,000
He is the silent killer...

Cc: mahondaw
 
impongo

impongo

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2015
Messages
6,048
Points
2,000
impongo

impongo

JF-Expert Member
Joined Feb 18, 2015
6,048 2,000
Habari zenu wakuu. Miongoni mwa watu ambao sielewi kabisa mambo yao ni mbunge wa Bariadi Mh Andrew Chenge, nasema hivyo kwasababu ni mtanzania pekee aliye tajwa sana kwenye kashfa nyingi (karibu zote zile kubwa kubwa).

Lakini pamoja na hayo huyu bwana tangu ni mfahamu amekuwa akihusishwa ktk kuongoza shughuli nyeti MF. Kwenye marekebisho ya katiba yaliyofanyika 2005 yeye ndo alikuwa mwenyekiti wa kamati hii nyeti.

Katika mchakato wa kuhitimisha katiba ya Warioba yeye alichaguliwa kwa mara nyingine kuongoza jopo la wataalamu ku finalize mambo kabla ya kumalizia hatua yamwisho.

Kwasasa huyu bwana ni Mwenyekiti wa Bunge.

Najiuliza hivi yale tuliyokuwa tukiyasikia alikuwa anasingiziwa?

Kama jibu ni hapana kwanini haungani na akina Rugemarila na Seth? Kama hahusiki ni kwanini walimsingizia yeye na si mtu mwingine?

Kwanini hata wasinge singizia mtu 1 kwa kila scandal?

Wewe unafahamu nini kuhusu Mtemi Chenge? aka Joka lenye makengeza.
Ukiwa kada mtiifu wa ccm upo juu ya sheria
 
coscated

coscated

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2010
Messages
2,425
Points
2,000
coscated

coscated

JF-Expert Member
Joined Nov 17, 2010
2,425 2,000
Wa kumkamata yupo ila wa kumfungulia mashtaka hayupo
 
masai dada

masai dada

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2013
Messages
13,538
Points
2,000
masai dada

masai dada

JF-Expert Member
Joined Dec 29, 2013
13,538 2,000
naomba namba yake kama unayo
 
sengobad

sengobad

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2017
Messages
1,824
Points
2,000
sengobad

sengobad

JF-Expert Member
Joined Aug 13, 2017
1,824 2,000
Joka la makengeza ni habari nyingine,liliwahi kugonga bajaji likiwa na gari na halina leseni ya udereva,likaua watu watatu papo hapo lakini likaishia kulipa faini tsh laki 7 likawa huru!
Unaambiwa gari ndo limeua sio binadamu kaua
 
F

FUSO

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2010
Messages
15,633
Points
2,000
F

FUSO

JF-Expert Member
Joined Nov 19, 2010
15,633 2,000
Anagombea ubunge 2020 na hakuna wa kujaribu eti kukata jina.
 
flulanga

flulanga

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2016
Messages
2,423
Points
2,000
flulanga

flulanga

JF-Expert Member
Joined Jul 1, 2016
2,423 2,000
Mkuu bahati mbaya Mungu katuumba sisi wanyonge sana….Mwafrika mnyonge anaogopa kifo cha sekunde kuliko utumwa na manyanyaso ya milele!!! Mwafrika yuko radhi aishi kama Mbwa asie na mwenyewe Maisha yake yote huku akimtukuza bwana anakuja kumtupia jalalani makomboka kuliko kusema hii inatosha na kupigana kwa ajili ya UTU wake!!!!! Hawa wazungu wanajua sana kutuhusu sisi na ndio maana hawana wasi wala mcheche. Katika binadamu walio kamili watu kama Chenge na wenzie ambao kila kukicha tunasikia wanavyotaka kutuingiza matatizo kwa mikataba muflisi….nakwambia wangekuwa wameshughulikiwa zamani gani!!!! Tena bila kuhusisha serikali au utawala. Unajua Hitler pamoja na udikteta wake wa kutisha sana na ufanisi wake katika kutisha watu alikoswa mara kibao katika majaribio ya kutoa roho yake mbaya. Majaribio mengine wala hayakuwa ya makundi ya watu bali mtu binafsi mwenye kujitolea kuiepusha jamii na nduli aliekuwa anaipoteza jamii. Huwezi sikia hayo katika jamii za Kiafrika aslan!!!! Hahahahahahaha Mobutu kafa akiwa na umri wa miaka 66 nadhani tena kwa ugonjwa pamoja na upuuzi alioufanya Congo. Mugabe katawala mpaka anashindwa kutembea kaifuja nchi mpaka basi na mifano mingi mingine!! Na hii ndio hata historia yetu inaonyesha hivyo, angalia zile picha za misafala ya watu, watu Zaidi ya 100 wanalindwa na Mwarabu mmoja na gobole lenye risasi moja moja. Msafala unatembea miezi kadhaa porini kutoka Tabora mpaka Bagamoyo na mzigo (watumwa) wote unafika salama!!!! Haya yanaendelea Mwafrika akili yake nyepesi sana tukae tujiulize sana. Kosa letu nini??!!! Na hili si la kulipuuzia hata kidogo ndio msingi haswa wa kutoweza kubadirisha hali zetu. Kwa hiyo Mkuu sio sababu ya kusoma Harvard au kuwa na akili hapana tatizo liko kwenye jamii na asili yetu. Duh basi ngoja niachie hapa!!!
Duh nimejifunza kitu hapa
 
Forum statistics

Threads 1,307,076
Members 502,332
Posts 31,600,955
Top