Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 42,451
- 50,183
Yeye ndio aliyetunga sheria za nchi hii sasa utatungaje kitu kitakachokufunga yeye kaacha baadhi ya loopholes ndio huwa anachomokea humo refer ile kesi yake ya kuwagonga na gari wale wadada wa mwanza na kuwaua then akalipa laki saba kama faini na gari lake lilikutwa halina hata insuarance
Ni kama wakati anaandika sheria zetu alijua kuwa siku moja atagonga na kuua
