Sa 7 mchana
JF-Expert Member
- Dec 30, 2018
- 4,975
- 9,723
Asee huu Muungano tulipigwa
Na wabara % ngapi kule visiwaniHaBari Wakurugenzi..!
Kuna mambo ya Muungano wengi wetu tulikuwa hatujafundishwa shuleni lakini kitaa sasa ndio tunajifundisha.
Mfano hili la ajira zinazotolewa na JMT Wazanzibar wanatakiwa kupata mgawo wa asilimia 21 na Serikali ya Zanzibar inaandaa kanzu data na kuhakikisha wale wanaohitimu vyuo wanaajiriwa JMT.
Kiukweli kuna raha sana kuwa mzanzibar yaani ukatae wewe tu shule ajira nje nje awamu hii ya mzee Mwinyi.
Duh. Kaka mshana nimenunua chunvi ya Mae tayari kwa dawa.Hapana.. Kote!
Maana yake wazanzibar ni watanganyika asilia kwa haiba uliyoandikaWabishi kama waruguru. Na wamakonde...wavivu kamaa wagogo... Wabinafsi na wabaguzi kama wahaya na wachaga...wameota pembe kama wasukuma...hawakusoma kama watu wa pwani yaani bagamoyo..tanga..kilwa nk...
Uchawi chawi kama wapare..wakinga..mbeya na tanga line..na kigoma ...
Waongeaji kama wakwwere.na wazaramo... Wapole kama wabena ..wana kisirani kama wahehe...hawapendi kuendeshwa ovyo kama wazungwa...hawana asili ya kazi ngumu kama wanyamwezi.. kidogo kama wanyaturu na wairaq...hawali vibudu kama watu wa kondoa..wana mila na desturi zao na wanataka utaifa wao ubaki kama wamasai...hawana vishindo kama wanyambo...wala visa kama waha..na roho kavu kama wamachame... Wana hadhari kama wamakuwa..nk nk...
Wana hasira kama wakurya.Wabishi kama waruguru. Na wamakonde...wavivu kamaa wagogo... Wabinafsi na wabaguzi kama wahaya na wachaga...wameota pembe kama wasukuma...hawakusoma kama watu wa pwani yaani bagamoyo..tanga..kilwa nk...
Uchawi chawi kama wapare..wakinga..mbeya na tanga line..na kigoma ...
Waongeaji kama wakwwere.na wazaramo... Wapole kama wabena ..wana kisirani kama wahehe...hawapendi kuendeshwa ovyo kama wazungwa...hawana asili ya kazi ngumu kama wanyamwezi.. kidogo kama wanyaturu na wairaq...hawali vibudu kama watu wa kondoa..wana mila na desturi zao na wanataka utaifa wao ubaki kama wamasai...hawana vishindo kama wanyambo...wala visa kama waha..na roho kavu kama wamachame... Wana hadhari kama wamakuwa..nk nk...
Huku Kilimanjaro huwa tunawabagua watu wanaotoka mikoa mingine kwa kuwaita chasakaKama muungano ukivunjika visiwa vya unguja na pemba vitaanza siasa za kubaguana wao kwa wao kwa tofauti za asili zao, waarabu wa pemba na waswahili wa unguja. Masalia ya usultani yatachipua upya kwa sura ya kidemokrasia na kutaka serikali yao iliyopinduliwa irudi. Bado wanaiota na kuona iliondolewa madarakani kimakosa kwa hiyo wanatamani sana irudi kutawala japo kwa sura nyingine
Hata kwenye zile wizara/idara zisizo za Muungano?HaBari Wakurugenzi..!
Kuna mambo ya Muungano wengi wetu tulikuwa hatujafundishwa shuleni lakini kitaa sasa ndio tunajifundisha.
Mfano hili la ajira zinazotolewa na JMT Wazanzibar wanatakiwa kupata mgawo wa asilimia 21 na Serikali ya Zanzibar inaandaa kanzu data na kuhakikisha wale wanaohitimu vyuo wanaajiriwa JMT.
Kiukweli kuna raha sana kuwa mzanzibar yaani ukatae wewe tu shule ajira nje nje awamu hii ya mzee Mwinyi.
Heri yako wewe umesema kweli ...Huku Kilimanjaro huwa tunawabagua watu wanaotoka mikoa mingine kwa kuwaita chasaka