Unafahamu 21% ya waajiriwa wanatakiwa kuwa Wazanzibar?

Dah yan watu wana hasira kinoma na Wazenji yan..Kila ikiwekwa thread kuhusiana na Wazanzibar lazma watu wamwage mapovu ya kutosha

Me naona kama vipi tuwasapoti tu kuuvunja huo muungano ili tuone watakavokufa njaa

Ila tunaweza kusaidia hawa wanaodai katiba mpya ili katiba ijayo iache kuwadekeza Wazanzibari
 
Wabishi kama waruguru. Na wamakonde...wavivu kamaa wagogo... Wabinafsi na wabaguzi kama wahaya na wachaga...wameota pembe kama wasukuma...hawakusoma kama watu wa pwani yaani bagamoyo..tanga..kilwa nk...

Uchawi chawi kama wapare..wakinga..mbeya na tanga line..na kigoma ...

Waongeaji kama wakwwere.na wazaramo... Wapole kama wabena ..wana kisirani kama wahehe...hawapendi kuendeshwa ovyo kama wazungwa...hawana asili ya kazi ngumu kama wanyamwezi.. kidogo kama wanyaturu na wairaq...hawali vibudu kama watu wa kondoa..wana mila na desturi zao na wanataka utaifa wao ubaki kama wamasai...hawana vishindo kama wanyambo...wala visa kama waha..na roho kavu kama wamachame... Wana hadhari kama wamakuwa..nk nk...
 
HaBari Wakurugenzi..!

Kuna mambo ya Muungano wengi wetu tulikuwa hatujafundishwa shuleni lakini kitaa sasa ndio tunajifundisha.

Mfano hili la ajira zinazotolewa na JMT Wazanzibar wanatakiwa kupata mgawo wa asilimia 21 na Serikali ya Zanzibar inaandaa kanzu data na kuhakikisha wale wanaohitimu vyuo wanaajiriwa JMT.

Kiukweli kuna raha sana kuwa mzanzibar yaani ukatae wewe tu shule ajira nje nje awamu hii ya mzee Mwinyi.
Na wabara % ngapi kule visiwani
 
Ati muungano wa kujivunia duniani, kwakweli mwizi ni mwizi tu
 
Wabishi kama waruguru. Na wamakonde...wavivu kamaa wagogo... Wabinafsi na wabaguzi kama wahaya na wachaga...wameota pembe kama wasukuma...hawakusoma kama watu wa pwani yaani bagamoyo..tanga..kilwa nk...

Uchawi chawi kama wapare..wakinga..mbeya na tanga line..na kigoma ...

Waongeaji kama wakwwere.na wazaramo... Wapole kama wabena ..wana kisirani kama wahehe...hawapendi kuendeshwa ovyo kama wazungwa...hawana asili ya kazi ngumu kama wanyamwezi.. kidogo kama wanyaturu na wairaq...hawali vibudu kama watu wa kondoa..wana mila na desturi zao na wanataka utaifa wao ubaki kama wamasai...hawana vishindo kama wanyambo...wala visa kama waha..na roho kavu kama wamachame... Wana hadhari kama wamakuwa..nk nk...
Maana yake wazanzibar ni watanganyika asilia kwa haiba uliyoandika
 
Wana hasira kama wakurya.
 
Kama muungano ukivunjika visiwa vya unguja na pemba vitaanza siasa za kubaguana wao kwa wao kwa tofauti za asili zao, waarabu wa pemba na waswahili wa unguja. Masalia ya usultani yatachipua upya kwa sura ya kidemokrasia na kutaka serikali yao iliyopinduliwa irudi. Bado wanaiota na kuona iliondolewa madarakani kimakosa kwa hiyo wanatamani sana irudi kutawala japo kwa sura nyingine
 
Huku Kilimanjaro huwa tunawabagua watu wanaotoka mikoa mingine kwa kuwaita chasaka
 
Hii ni hatari. Ajira za serikali ya mapinduzi Zanzibar hakuna mbara anayegusa. Alafu ajira za serikali ya muungano wao wapate 21%.
Sijui ni kanuni gani ya hesabu imetumika.
 
Kwa mtazamo huo ni heri wote tuitwe wazanzibar.
Hakuna mzanzibar aliyeenda shule anaweza kukosa ajira!
 
Kwenye kisiwa chao labda.ili bidi tuwaachie wawe nchi afu badae tuwa teke kusiwe na habar ya muungano tena iwe nchi moja tuufanye mkoa
 
HaBari Wakurugenzi..!

Kuna mambo ya Muungano wengi wetu tulikuwa hatujafundishwa shuleni lakini kitaa sasa ndio tunajifundisha.

Mfano hili la ajira zinazotolewa na JMT Wazanzibar wanatakiwa kupata mgawo wa asilimia 21 na Serikali ya Zanzibar inaandaa kanzu data na kuhakikisha wale wanaohitimu vyuo wanaajiriwa JMT.

Kiukweli kuna raha sana kuwa mzanzibar yaani ukatae wewe tu shule ajira nje nje awamu hii ya mzee Mwinyi.
Hata kwenye zile wizara/idara zisizo za Muungano?
 
Huku Kilimanjaro huwa tunawabagua watu wanaotoka mikoa mingine kwa kuwaita chasaka
Heri yako wewe umesema kweli ...

Waarabu hasa walikuwa Unguja ndio maana mapinduzi yalifanyika Unguja na sio Pemba..

.wangazija..wahindi na waarabu wengi wapo Unguja kuliko Pemba ambapo wengi ni watu wa kutoka mwambao wa kenya..wagunya na wa manyema..mpaka tanga na kilwa!

Pemba na Unguja ni sawa sawa..na Unguja imezidi mchanganyiko. .sasa hapo ..muarabu wa wapi aje kutawala?!

Wamanyema..au wa kiuyu..?!

Ubaguzi upo sehemu zote..na hasa mwenyeji akiona mgeni anataka sasa kumtawala.. ..wakati kamkaribisha yeye...

Hata bara upo sana tu..wachaga huwaweki na wagogo..na muhaya hakai na mruguru..ni vile hayaongelewi tu ila yapo.

Kawaida tu na sasa upuuzi wa vyama umeanza kuondoka.... Siasa chafu ndio zilizo leta ubaguzi.. ..kufitinisha watu kwa maslahi ya vyama!
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom