St. Paka Mweusi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2010
- 7,639
- 4,526
ccmsoma kwa makini maneno yafuatayo kisha uniambie umeelewa nini,jaribu kutafakari polepole bila haraka.
aibu,maradhi,umaskini,kifo.
mshindi atapata zawadi nono.
Soma kwa makini maneno yafuatayo kisha uniambie umeelewa nini,jaribu kutafakari polepole bila haraka.
Aibu,Maradhi,Umaskini,Kifo.
Mshindi atapata zawadi nono.
haina ban hii kitu?
Tupe hints.Mkuu wewe umekaribia kupatia lakini wengine wote wamejaribu,nitatoa hint labda kuna atakayeweza kuona maneno hayo yanamaanisha nini.
Noma
Dah Maskini Tesha pole sana mekuuu,tutakupitia baadaye mm na mdau Mkuu twende kupata mbege huku ukitufundisha kuandika InshaTehe tehe tehe tehe yaani mdau kweli we noma yaani umemuacha mdau wangu Izack Tesha mchaga wangu huyu katunga insha ya jibu la swali lako kusudi umpe zawadi ya X-mas kumbe jibu lenyewe la kigoroko,duh kweli we Rural Swagga we ni noma bana.
tukupe mji? nenda pemba basss
Pemba naogopa popo bawa.