Unadhani ingekuwaje?

Basi madame achana nae wengi tunakuhitaji hapa jamvini ukila ban tutafanya maandamano

teh teh teh teh,
Mkuu Ngongoseke,
nashukuru ila kiukweli kuna member wanaboa kichz,wanaleta u-muchknow,
BTW mzima lakini?
Me niko pouwa coz nimeamka salama salimini.
 
Last edited by a moderator:
teh teh teh teh,
Mkuu Ngongoseke,
nashukuru ila kiukweli kuna member wanaboa kichz,wanaleta u-muchknow,
BTW mzima lakini?
Me niko pouwa coz nimeamka salama salimini.

Yah kweli hata mimi kuna mbwiga mmoja alinipa ban ya wiki hivihivi' mimi niko hapa nlipo rafiki yangu joto liko 41c unaweza kuamini?
 
Last edited by a moderator:
Habari za asubuhi mama,jana nilikuogopa nilivyoona unampa za uso mtu nikaona hapa nikiingia kichwa kichwa nitakoma kuringa..hahahahaha umeamka salama lakini..??

Usiogope St. Paka Mweusi,
ni heri utani uwepo baina ya watu wawili au zaidi ambao huwa mna kawaida ya kutaniana mfano me na wewe,maana utaona hyo ni kawaida yetu,lakini mtu tofauti aingizapo utani pasipo kuwa na mazoea nae tena utani wa kingono,
Je,amekuchukulia wewe ni Kicheche sana?
Ila usijali,me nimeamka salama salimini japo kulikuwa na mazoezi ya hapa na pale usiku kucha.
 
Ah madogo wengine hawana adabu umemfanya anavyotakiwa,
lakini hapo kwenye nyekundu mh,hapa nilipo nina mwaka wa saba
sijafanya hilo zoezi,achilia mbali kuona sura ya mwanamama...
 
We nitake radhi,
na tusidanganyane hapa.
Wakati juzi nimekuona chobingo pale umemkumbatia jimama.

AAAAAAAAA mama nawe huna siri mwenzio najipiga promo hapa labda Arabela atanionea huruma wewe unatoa
siri........ si unajua niko kwenye mchakato wa kuvunja ndoa ya mtu hapa............
 
Last edited by a moderator:
AAAAAAAAA mama nawe huna siri mwenzio najipiga promo hapa labda Arabela atanionea huruma wewe unatoa
siri........ si unajua niko kwenye mchakato wa kuvunja ndoa ya mtu hapa............

Unasemajeee!!
Unataka kumpindua shemeji yangu Zubedayo?
Hapatakalika,tutakutafuta popote ulipo,
tutaipindua ardhi juu chini mpaka tukupate.
 
Last edited by a moderator:
Haya bhana,ukiuwawa usiwasingizie M4C

Nimekusikia mama karibu basi chamani kwangu, hivi karibuni naanzisha chama cha wagoni na sheria ya kwanza katika katiba yetu itakuwa marufuku kufumaniwa,na ikitokea umefumaniwa utakuwa umejivua mwenyewe uanachama...
 
Jamani Nimerudi tena upya baada ya Kuwepo Segerea, No 14 B.
Jamani,sitaki uchokozi,ila Was.enge wote walionisababishia Ban nahakikisha nakula nao sahani moja

Yuleyule mkweli daima,
AmKATRINA.
Najua hapa napata ban nyingine.
 
Hujachoka kukaa Segerea mkuu..??
 
Jamani hv nyie watoto wa FB humu Jf mmefata nini?
Unanijua kiundani mpaka useme unanibebea condom?
Shem on you we kijana!!
Tafuta stupid mwenzio ndio uongee utumbo huo.
Usifuate mkumbo na
U.se.nge wa kidunia!!
Check ur comment before sending.
Stupid man/woman.
And stupid comment!!!

dah!....my X jamani!huko nyuma hukuwa hivyo,kulikon
 
Back
Top Bottom