Unadhani hawajisikii vibaya?

SERIKALI haijengi viwanda sasa hivi hilo lapaswa kufanywa na sector binafsi
 
SERIKALI haijengi viwanda sasa hivi hilo lapaswa kufanywa na sector binafsi
[emoji144][emoji144][emoji144][emoji144][emoji144][emoji144][emoji144][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115]
 
Aisee mshana mbona pm hujajibu?
 
Hii siku nauona huu uzi ilikua ni alfajiri ya saa 11 nilikua najiandaa kutoka mkoani kuja Dar kwa ajili ya training ya kazi. Soon baada ya kuujibu huu uzi tumbo likaanza kunishika vibaya sana.

Nikaazimia kuja Dar hivyo hivyo. Nikafika kwenye training lakini sikua msikivu kutokana na tumbo kuuma, pia hata kula sikuweza nikihofia kuzidi kulitibua.

Anyway, I failed.
 
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji848][emoji848][emoji848]kwanini... So sorry pole sana
 
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji848][emoji848][emoji848]kwanini... So sorry pole sana
Shukrani.

Ilikua kwamba, tupo wengi na performance kwenye training ndiyo ingekuhakikishia nafasi ama kinyume chake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…