Kwenye kupata mkopo sasa ndo balaa! Mabenki hayataki kukopesha![]()
![]()
nimecheza anga zote mbili..jaribu kuanzisha biashara yako leo hii ili ujikwamue kimaisha baada ya kukosa ajira uone mziki wake
Kupata tu nyaraka za kukutambua kama mjasiriamali unaweza kukata tamaa na kurudi kijiweni ukavute bangi
Michakato migumu kuanzia kupata mtaji mpaka kusimamisha biashara imewashinda wengi
Muda mwingine unakosa cha kukoment maana wengi wanakua wameshagusa nyanja tofauti toauti. Umeona mbali mkuu na naungana nawe katika hili.Tuna shida kidogo kwenye vipaumbele vyetu kama kile cha kujenga reli kwenda Rwanda yenye watu milioni kumi badala ya kujenga reli kwenda DRC Congo yenye watu zaidi ya milioni mia moja
Ni wazi kuwa kila kimoja kina umuhimu wake lakini kwasasa nchi haina tatizo kubwa la usafiri wa anga! Pengine zile pesa za Bombardier zingetosha kujenga viwanda vidogo vidogo zaidi ya 20 na kuleta ajira zisizopungua 500...nina hakika ajira zitakazotokana na bombardier mbili haziwezi kuzidi miamoja nchi nzima
Vile vile ile project ya kuua upinzani nchini kupitia bwana yule na wengineo pesa yake ingetosha kujenga walau kiwanda kimoja cha matunda mkoani Tanga na kuzalisha ajira zisizopungua 100 kuanzia kukusanya kuuza kuprocess matangazo kutawanya na kuuza
Kwa njia hii tungewapunguzia vijana wengi stress za maisha bila ajira
Hongera sana...ni kweli kabisa wengi wana kazi za vitandani kwakuwa kitanda hakina kazi moja shida ipo kwenye legitimacy ya hizo kazi na kama ni officialMimi mbona nipo kitandani na kazi ninayo.., free your selves from slavery..!

kwa kuwa wajua sifileo, basi ntachangia, ngoja kabia kangu kashuke kafike walau nusu ubongo nina mengi ambayo nimekutana nayo maana nimeishi maisha bila kazi kwa zaidi ya mwaka, alafu anaingia mtu m adarakani anasema maisha ya wapiga dili hakuna tena namumaindi mbaya huyu mtu, tutaishi wakati watu tunapiga dili tunakunywa bia, na kulipa body ta mkopo, wakati mawaziri wake hawalipi hata bodi yamkopo, wewe unakuwa raisi una mpu uwaziri without vetting ukajua kuwa anadaiwa au la? mimi nasema hivi, WAITA NIONGEZEEEEE, wadau wamenza kuja nadhani ntaandika mpaka nichoke leo udhaifu wa mtawala wa sasa, naogopa kuandika ukweli wote maana jamaa, tulikuwa tunaishi karibu sana hapa ADA ESTATE KABLA yeye hajaamia ikulu na mimi kuamia MANZESE, waita niongezeee kiroba najua jamaaa yangu amekuta nchi iko vizuri kifedha ila ameshindwa kufanya aliyoyasema kama kutoa ajira na mengine, .......haaaaa..........waita nichanganyie KIROBA NA safari, ............................ mtu ananunua ndege hivi iki kilikuwa kipao mbele cha taifa?......................waita mtu katumbua watu ila matumizi ya serikali yake yanaongezeka eti analip madeni ya nje na ndani, jenga nchi wewe.............. hacha mbwe za kisukuma,...........................waita niongeze kiroba changanya na value.......................tukutane badae![]()
![]()
changia tu najua hufi Leo
una kauli nzuri kam jina lako. asante mkuu hatukati tamaa ila ipo siku tukiamua nchi hii haitatawaliwa.Nimekuelewa sana mkuu. Binafsi nimewahi kukaa town bila ajira kwa mda mrefu sana . Inauma sana hasa kwa mtu aliyeenda shule.
Niwape pole vijana wote wanaotafuta ajira , msife moyo ndugu zangu Mungu yupo iko siku milango itafunguka tu. Poleni sana.
jina lako lingeanza na "C"...ambayo bado itasomeka "K"...ingependeza sanaKalingeabzmst: 17905072 said:Usemacho ni kweli, nafahamu watu kwa ukaribu ambao wanamaumivu kama hayo na baadhi yao wakipata pesa tuu hata ya kupewa au baada ya kufanya deiwaka au kibarua huinywe pombe yote.
Washakata tamaa na maisha. Kweli inaumiza.
Nawaombea heri wote walio kwenye kada hiyo.
kwa kuwa wajua sifileo, basi ntachangia, ngoja kabia kangu kashuke kafike walau nusu ubongo nina mengi ambayo nimekutana nayo maana nimeishi maisha bila kazi kwa zaidi ya mwaka, alafu anaingia mtu m adarakani anasema maisha ya wapiga dili hakuna tena namumaindi mbaya huyu mtu, tutaishi wakati watu tunapiga dili tunakunywa bia, na kulipa body ta mkopo, wakati mawaziri wake hawalipi hata bodi yamkopo, wewe unakuwa raisi una mpu uwaziri without vetting ukajua kuwa anadaiwa au la? mimi nasema hivi, WAITA NIONGEZEEEEE, wadau wamenza kuja nadhani ntaandika mpaka nichoke leo udhaifu wa mtawala wa sasa, naogopa kuandika ukweli wote maana jamaa, tulikuwa tunaishi karibu sana hapa ADA ESTATE KABLA yeye hajaamia ikulu na mimi kuamia MANZESE, waita niongezeee kiroba najua jamaaa yangu amekuta nchi iko vizuri kifedha ila ameshindwa kufanya aliyoyasema kama kutoa ajira na mengine, .......haaaaa..........waita nichanganyie KIROBA NA safari, ............................ mtu ananunua ndege hivi iki kilikuwa kipao mbele cha taifa?......................waita mtu katumbua watu ila matumizi ya serikali yake yanaongezeka eti analip madeni ya nje na ndani, jenga nchi wewe.............. hacha mbwe za kisukuma,...........................waita niongeze kiroba changanya na value.......................tukutane badae
njoo huku tuongezee na