Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 361,112
- 831,785
- Thread starter
- #61
jubilant najua wazi umenifananisha na mtu fulani...Mshana (doto)
Umetoa Maelezo ambayo yanaumiza sana fikra za watu sana hasa kwa watanzania. Gavana wa benki yetu ametoa report za kukua kwa uchumi kama ulivyoeleza.
Mie nina mtizamo tofauti wakifikra na wewe. Kwa maelezo yako inaonesha kwamba unategemea serekali ndio ilete maisha bora kwa watanzani, Viongozi wetu hawana utashi wa kweli kuwahudumia wananchi nia yao ni kwa ajili ya matumbo yao na familia zao, fikiria kidogo tu wewe unalipa payee kiongozi halipi,
Unakatwa Mafao leo wanaleta sheria ya kwamba mafao yako yakajenge viwanda hela utaipata ukifikisha miaka 65, wao hio sheri kwao haitumiki 5 years wakimaliza hela wanachukua bila makato. hivyo basi mfumo wa maisha kwa dunia nzima ni waudanganyifu na kukatisha tamaa sana.
Cha Msingi ni kubadili mtizamo tu, kufanya kazi kwa bidii na kwa malengo kwa wale walioajiriwa watambue hiyo kazi ni daraja la kumpleleka kwenye kazi za kujiajiri. kwa wale majasiriamali ni kujitahidi kwa bidii kufanya kazi sana ili uwe na maisha bora bila kuilalamikia serekali yetu sikivu..
Umeongea vizuri kuhusu walioajiriwa na wale wajasiriamali lakini umewasahau kabisa wale wasio na ajira au kazi yoyote , ambao hao ndio msingi wa mada hii