Dogoli kinyamkela
JF-Expert Member
- Nov 21, 2024
- 2,606
- 4,528
- Thread starter
-
- #61
Weye wawaza ubweche tu🤣🤣Pilau liliiva?
You bella watch you are backHamna litakalotimia hapo
You better too. Nabii muongo muongo kama machawa wa fisiemYou bella watch you are back
Kaa Kwa kutulia fisiem ww usubuli next monthYou better too. Nabii muongo muongo kama machawa wa fisiem
Namba Tano haikwepeki🔊 UNABII WA MWEZI WA 8
Mwezi wa 8 naona ukiwa mwezi wa utulivu, lakini ndani ya utulivu huo kutajitokeza mambo makubwa. Naona mbingu zikitulia ili kuleta majibu kwa wengi wanaomtafuta Mungu kwa imani.
Maono niliyoandika leo:
1. Naona tasnia ya Bongo Fleva ikipata pigo kubwa.
2. Naona katika Bongo Movie yakitokea matukio mawili ya huzuni yanayowahusu wasanii wawili wanaopendwa na watu wengi.
3. Naona Bunge la Tanzania likiwa katika hali ya huzuni, na nafasi mbili za ubunge zikibaki wazi.
4. Naona upande wa Arusha tukio kubwa linalohusisha mlima na mlipuko wa volkano.
5. Naona atatoka, lakini hatabadilika; badala yake atarudi akiwa na msimamo mkali zaidi kuliko ule wa kwanza.
6. Wafanyabiashara, simameni katika maombi. Naona vifo vya baadhi ya wafanyabiashara wakubwa na wadogo.
Mungu awarehemu watu wake na ageuze kila jambo baya kuwa ushuhuda. Tuendelee kuomba na kumtumaini yeye katika kila wakati.
✍️ Imeandikwa leo: 28-07-2026
Niliacha ndala🏃🏃🏃Pilau liliiva?
Kitu ganii jamaniKwenye tasnia ya burudani hata mie nimeona kuna kitu kitatokea,
Mungu awalinde.
Mikwara yangu tu, sina nijualoKitu ganii jamani
😅😅😅Mikwara yangu tu, sina nijualo
Hili hukulionaKuna unabii wa Bwana yule kutemeshwa bungo', sijauona humu. Mzee wa pambaneni
Utaniri wa hovyo kuwahi kutokea🔊 UNABII WA MWEZI WA 8
Mwezi wa 8 naona ukiwa mwezi wa utulivu, lakini ndani ya utulivu huo kutajitokeza mambo makubwa. Naona mbingu zikitulia ili kuleta majibu kwa wengi wanaomtafuta Mungu kwa imani.
Maono niliyoandika leo:
1. Naona tasnia ya Bongo Fleva ikipata pigo kubwa.
2. Naona katika Bongo Movie yakitokea matukio mawili ya huzuni yanayowahusu wasanii wawili wanaopendwa na watu wengi.
3. Naona Bunge la Tanzania likiwa katika hali ya huzuni, na nafasi mbili za ubunge zikibaki wazi.
4. Naona upande wa Arusha tukio kubwa linalohusisha mlima na mlipuko wa volkano.
5. Naona atatoka, lakini hatabadilika; badala yake atarudi akiwa na msimamo mkali zaidi kuliko ule wa kwanza.
6. Wafanyabiashara, simameni katika maombi. Naona vifo vya baadhi ya wafanyabiashara wakubwa na wadogo.
Mungu awarehemu watu wake na ageuze kila jambo baya kuwa ushuhuda. Tuendelee kuomba na kumtumaini yeye katika kila wakati.
✍️ Imeandikwa leo: 28-07-2026
Kumekucha.... Ngoja tuone5. Naona atatoka, lakini hatabadilika; badala yake atarudi akiwa na msimamo mkali zaidi kuliko ule wa kwanza.
Unabii unatimia mkuu!Manabii wa uongo wengi watatokea....
Punguza bangi bintiMikwara yangu tu, sina nijualo