una tatizo la ndoa?ndoa yako inalega lega!!onana na mshauri wa ndoa!!

njoo nikutengeneze ndoa yako achana na kukimilia kwakina dk manyuki awakusaidii...tatizo lako tena ni dogo kweli waala aliiitaji kwenda kwa DK MANYUKI...wewe tu kutoa stress yako ya maisha u relax,...inakuwa norma n well function

watakupa dawa zisizo na vipimo halisi huku unapewa NENO LA mungu KWANZA UNABAKIZA IMANI YAKO KUSIKILIZA NA KUTENDA UNAENDA ZAKO!@@
EASY...COME N TAKE NT QUICK N PAY

kumbe biashara zako ni kama za akina rwakatare?????.............. hahaha.............. bongo wajasiriamali wengi sana............ tumebarikiwa kwa ilo................ haya wale wadanganyika changamkeni sasa soko lingine limeanzishwa tayari........... liaanza na focus ya ndoa na baadaye litaextend hadi kwenye maeneo mengine ambayo ni fast moving ................
 
Tupe CV yako tafadhali.
asante.

hata mimi nna hamu ya kuona CV yake........ lakini nahisi atakuwa kishaasi kwa mchungaji mmoja na sasa anataka kuanzisha kahuduma kake binafsi, aanze naye kusign cheki za account ya kanisa......................... hahaha ujasiriamali................
 
Onana na mshauri wa ndoa zinazolega lega
mtaalam hashimu/kim
tel:0712 30 87 11 ama 0712 97 57 98

usikubali kuvunja ndoa yako..uwezo unao kuiponya ndoa yako wahi sasa kabla aijasambaratika

wewe ni wa Kitabu au Tunguli
 
Onana na mshauri wa ndoa zinazolega lega
mtaalam hashimu/kim
tel:0712 30 87 11 ama 0712 97 57 98

usikubali kuvunja ndoa yako..uwezo unao kuiponya ndoa yako wahi sasa kabla aijasambaratika

Ni lazima watu wakuone ama unaweza toa nasaha kwa njia ya simu? na muda mzuri kwako ni upi?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom