Una nini cha kudanganyia toto

Una nini cha kudanganyia toto

Wajad

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2012
Posts
1,321
Reaction score
605
Mlevi hahongi ela ila pombe hadi tosha yako, konda hahongi ela ila daladala yake utapanda bure, muuzaduka hahongi ela ila vitu vya dukani, bosi hahongi ela ila vyeo (e.g. jk), dereva wa taxi hahongi ela ila atakutembeza na gari yake mji mzima, mwalimu hahongi ela ila maksi, n.k, nk. Je wewe una nini cha kudanganyia toto?
 
Mie nauza mboogambooga pale marikiti ! So utakula mbo nanii mboga za kutosha
 
Judgement, angalia bao lako la mbooga lisibaki wazi.
 
Mi ni fundi majeneza so naonga majeneza.
 
250px-Euro_banknotes.png
 
Back
Top Bottom