Una muda gani mpaka sasa?

Una muda gani mpaka sasa?

Kwahiyo ikawaje mjukuu ?
Nilitoka njee mpka mapokezi nikamuambia mhudumu alikua mdada izo kelele zimezidi nashindwa Kulala akasema amezoea nikatoka njee nikakaa karibu nusuu kurudi wamemaliza🙌🙌🙌

Nijua ku panic ile siku
 

Attachments

  • downloadfile-10.jpg
    downloadfile-10.jpg
    61.5 KB · Views: 14
Ndio mapenzi halisi geneyo🤣

Sasa wewe unataka nani akuletee kazini chakula na baiskeli wenzie wanasukuma bm na anaconda huko😅 ukiachika kilio chake cha mbwa koko👿
Mwanike, mapenze ga wiza yabizile gha khale duhu. Bhanike bengi chenga chenga duhu

Haijalishi anasukuma Nini, I need me a loyal girl. Hao wanaosukuma wengi wao pia wanapata taabu tyu because it ain't enough. Love doesn't cost a dime
 
Back
Top Bottom