Una muda gani mpaka sasa?

Una muda gani mpaka sasa?

Me nakula nnapojisikia

Ila nikikerwa naisusa wiki hata 2 upwiru umpande akakandwe na Bodaboda, Akirudi huko anakuwa na Adabu na namkumbusha bila kuchoka

"Amani inapatikana kwangu tu mimi ndimi mlima sayuni wako wa makimbilio Boda hawana huruma nawe watakuua gheto, Nyambaf"
 
Kwanini unasusa😅
"Amani inapatikana kwangu tu mimi ndimi mlima sayuni wako wa makimbilio Boda hawana huruma nawe watakuua gheto, Nyambaf"
😅😅😅
 
Back
Top Bottom