Una mpenzi, lakini unataka tuwe marafiki

Una mpenzi, lakini unataka tuwe marafiki

Tatizo lenu boys demu akitoa nje basi mnakasirika ata kama nlikua ni marafiki mnakata mawasiliano. Sio kila anaetaka muwe rafiki lazima mgegedane muda mwingine demu uwa anaitaji tu a boy friend not boyfriend..hey guys Wek up...
 
Bado atakuja mpaka ahakikishe keshakugaia ngoma ndo utauona mziki wake
 
Tatizo lenu boys demu akitoa nje basi mnakasirika ata kama nlikua ni marafiki mnakata mawasiliano. Sio kila anaetaka muwe rafiki lazima mgegedane muda mwingine demu uwa anaitaji tu a boy friend not boyfriend..hey guys Wek up...

Sasa unawezaje kuwa na boy friend and boyfriend simultaneously like that?
 
tajirijasiri nitumie namba zake nikuulizie ana maana gani?
 
inawezekana jamaa yake hampi mambo inavotakiwa ndo maana kila anapopata nafac anakuja kwako umpe kitu ile roho inapenda...
 
Atakuwa anamiss mgegedo wako Urafiki utamfanya awe karibu na wewe ili uendelee kumpa hiyo huduma anapimiss
 
Si umejipatia pa kujitolea ugumi,tukupe mawazo ya nini, huyo ndio mzur hana garama we unajipigia tu wanaohudumia hukooo
 
Tatizo lililopo ni kwamba we umekufa kwa dogo afu dogo mwenyewe hajielewi,kazi unayo bwasheee.
 
Back
Top Bottom