Una mpenzi, lakini unataka tuwe marafiki

Una mpenzi, lakini unataka tuwe marafiki

tajirijasiri

Kama mtu alikuwa waziri au hata mkuu wa mkoa katika serikali ya Kikwete, hafai kuwa Rais wa Tanzania. Kimsingi mtu huyo ni sehemu ya uongozi mbovu na wa hovyo ulioliingiza taifa letu katika umaskini mkubwa na mdororo wa uchumi tulionao sasa. Kama mtu huyu alijua namna ya kuiokoa nchi na hakufanya hivyo, ina maana alitusaliti watanzania na hafai kuwa Rais wa nchi. Kama hakujua ni nini cha kumshauri Kikwete ili Mambo yaende sawa, ina maana hana analolijua. Je anataka awe Rais ili afanye nini ilihali hakuna alijualo?

Nimependa hii. Siku njema kwako mkuu.
 
Mgegede tena...Huwa inakuwa hivi...Huyo demu anamtu wake mwenye malengo naye ya future na ndiye anayemuweka mjini lakini hamgongi inavyotakiwa...kwa hiyo akitaka kugongwa anakutafuta....ndio mwendo wa kawaida mkuu
 
Mimi ninamshauri achane na tabia za uzinzi na uasherati,na amwamini Bwana Yesu katika roho na kweli naye atashinda dhambi hiyo
 
Endelea kufanya matumizi mabaya ya mbegu zako...ukifika msimu wa kupanda kwenye shamba lako halali usianze kulia lia sina na kulalama kuwa huna nguvu za kiume

Nadhan biology ulifeli !
 
Back
Top Bottom