Una mpenzi, lakini unataka tuwe marafiki

tajirijasiri

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
2,863
Reaction score
3,854
Kuna binti mmoja, alinizoea nikamgegeda. Akasema imetokea bahati mbaya, na eti anayeampendae. Nikakaa mbali nae. Siku kadhaa tukakutana, kajiingiza kingi nikamgegeda tena.

Akaahidi, hiyo itakuwa mwisho sababu anae wake ampendae na mimi niendelee na mwingine. Nikamuelewa nikaacha hata kuchati nae. Another day kanitext mwenyewe.

Kwenye text anadai mimi niendelee kuwa rafiki yake, eti ana miss urafiki wangu kwake ili hali ana bwana. Sasa huo urafiki urafiki gani mbona unanitatiza? Simuelewi simsomi huyu binti.

Wenye mawazo nisaidieni
 
Anakukubali Sema Anajifunga Coz Alishakwambi Kabla Kuwa Anae Bwana.....Try Kumsogeza Kwenye Game Tena Uone Muitikio Wake......Ingawa Inaweza Kuwa Anakufanya 'Last One'
 
Endelea kugonga tu...., maana wewe ndio tatizo na wala hujitambui!
Unatembeaje na mwanamke ambae alishakuambia ana rafiki tayari!?
Hata kama anajigonga kwako huna utashi wa kumueleza ukweli? au kwa sababu papuchi imejileta basi we kama yale medege yala mizogo porini wagonga tu!!
 
Anataka ukaribu na huduma...mawasiliano yaki kata hata pata huduma za emergency.
 
Endelea kugonga tu...., maana wewe ndio tatizo na wala hujitambui!
Unatembeaje na mwanamke ambae alishakuambia ana rafiki tayari!?
Hata kama anajigonga kwako huna utashi wa kumueleza ukweli? au kwa sababu papuchi imejileta basi we kama yale medege yala mizogo porini wagonga tu!!

Mimi mbona najielewa na kujitambua. Soma tena text yangu mkuu. King'ang'anizi ni yeye.
 
Anakukubali Sema Anajifunga Coz Alishakwambi Kabla Kuwa Anae Bwana.....Try Kumsogeza Kwenye Game Tena Uone Muitikio Wake......Ingawa Inaweza Kuwa Anakufanya 'Last One'

Yaani spare tyre sio?
 
tajirijasiri

Duuh kaka una story kama yangu, me mwenyewe kuna kaduh ivyoivyo nimekagonya mara mbili kanasoma bado kananikataa kanasema kana mtu wake na tena anampenda sana
 
Last edited by a moderator:
Kama Umegundua AnamaanishaAnachokisema.....Achana Nae Inshort.....
 
Duuh kaka una story kama yangu, me mwenyewe kuna kaduh ivyoivyo nimekagonya mara mbili kanasoma bado kananikataa kanasema kana mtu wake na tena anampenda sana

Hawa mabinti wa namna hii wanakuwa na double decision. Yaani hawajielewi wachukue yupi waache yupi!
 
Hata akikujulisha ana ngoma utamgonga tu wewe, huna msimamo na wewe
 
Endelea kugonga tu...., maana wewe ndio tatizo na wala hujitambui!
Unatembeaje na mwanamke ambae alishakuambia ana rafiki tayari!?
Hata kama anajigonga kwako huna utashi wa kumueleza ukweli? au kwa sababu papuchi imejileta basi we kama yale medege yala mizogo porini wagonga tu!!

Tatizo lako nn?
 
Back
Top Bottom