Una mechi kesho usiku?

Hapa kazi tu mkuu... mambo gani ya kujiandaa utadhani unaenda kupigana na johnsina .. vitu vidogo hivyo

Ngoja siku ukutane na mtoto wa kisukuma aliyeshiba ugali wake utanikumbuka
 
UBINAFSIiii huo wewe unajiandaa kupiga goli za kutosha MWENZIO hata kula hujui ka amekulaaaaa....hujui afya yake kwa siku hiyooooo...we unawaza mpira goliii....na kibamia chako


Ndo maana akitoka hapo akikaa kimya unaanza kujipendekezaaa ooohh ilikuwa powa, pretyy ....ukilenga kumuuliza VIP LEO NIMEPEFORM vizuri???????

ukijiandaa na mwezio mwandae
 
Hilo sasa litakuwa tumbo au pipa? Sijasikia sehemu uliyozungumzia mazoezi hata moja .......... kha
 

mshana leo unawaza nini kwani!!!!
 
Hiyo Lishe Ipo poa!! hapo ama mpira upasuke au nyasi zing'oke, ni lazima maji aite mmaa
 

Hujamaizia hesabu, hapo kwenye mchemsho haiwezi kuwa 2000 labda 5000.
Hiyo mechi kama inachezewa uwanja wa ugenini itakuwa na gharama za kiwanja, kwa viwanja vya kawaida kabisa 30000.
Timu pinzani haitaingia uwanjani moja kwa moja lazima kutakuwa na viburudisho kidogo tuseme kama 10,000.
Kunaweza kuwa na gharama za kuja na kuondoka kwa timu pinzani, hapo weka 20,000

baada ya mechi huwa kuna mgawanyo wa mapato ya pambano hapo kiwango cha chini kiwe 30,000 kutegemeana na aina ya timu.


kwa hiyo kwenye total ongoza 93,000 hapo

30,000 + 93,000=123,000/=

mwingine aongeze expenses ambazo hazijatajwa kwenye hii mechi
 

Hahahahaaaaa TECHMAN naona umeenda deep zaidi
 
Last edited by a moderator:

word.............
 
Tuna tabia ya kutokuwa wawazi kwenye mambo fulani au kujifanya tunajua zaidi ya wengine na hatukubali kuambiwa au kupata maarifa
Jamani mlo sahihi ni jambo nuhimu sanasana kwenye mambo kama hayo! Wengi wameponyeshwa na mpangilio sahihi wa vyakula tu, wala hawakupewa dawa yeyote
Hiyo formula hapo juu inaongeza hata kinga ya mwili pia! msifikirie ni ishu ya kufanya matusi tuu
Afya ya mwili wako inahusika kila eneo
 

Hahaha.. E bwana umemaliza..!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…