Una mechi kesho usiku?

Una mechi kesho usiku?

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
360,110
Reaction score
829,003
Jiandae kwa diet hii
Asubuhi saa moja: maziwa fresh ya moto na mayai ya kuchemsha mawili.

Saa nne asubuhi: glass mbili za juice ya miwa.

Saa saba mchana: ugali wa dona na foil ya samaki au nyama na mbogamboga.

Saa tisa adhuhuri: glass 2 za fresh juice ya ukwaju/ miwa.

Kumi na mbili jioni: mchemsho wowote.

Saa mbili usiku: supu ya pweza na pweza wake, valuer bapa na redbul moja.

Saa nne usiku: kama timu pinzani ishaingia uwanjani anza mtanange.
 
Asubuhi saa moja: maziwa fresh ya moto na mayai ya kuchemsha mawili: 3000

Saa nne asubuhi: glass mbili za juice ya miwa:2000

Saa saba mchana: ugali wa dona na foil ya samaki au nyama na mbogamboga:10,000

Saa tisa adhuhuri: glass 2 za fresh juice ya ukwaju/ miwa:3000

Kumi na mbili jioni: mchemsho wowote:2000

Saa mbili usiku: supu ya pweza na pweza wake, valuer bapa na redbul moja:10,000

yaani elfu thelathini kujiandaa tu wakati huo ni mshahara wa mfanyakazi wa ndani mkuu upo seriously kweli na maisha!!!
 
Jiandae kwa diet hii
Asubuhi saa moja: maziwa fresh ya moto na mayai ya kuchemsha mawili

Saa nne asubuhi: glass mbili za juice ya miwa

Saa saba mchana: ugali wa dona na foil ya samaki au nyama na mbogamboga

Saa tisa adhuhuri: glass 2 za fresh juice ya ukwaju/ miwa

Kumi na mbili jioni: mchemsho wowote

Saa mbili usiku: supu ya pweza na pweza wake, valuer bapa na redbul moja

Saa nne usiku: kama timu pinzani ishaingia uwanjani anza mtanange

vijana wa leo mnahangaika sana aiseee.
 
Asubuhi saa moja: maziwa fresh ya moto na mayai ya kuchemsha mawili: 3000

Saa nne asubuhi: glass mbili za juice ya miwa:2000

Saa saba mchana: ugali wa dona na foil ya samaki au nyama na mbogamboga:10,000

Saa tisa adhuhuri: glass 2 za fresh juice ya ukwaju/ miwa:3000

Kumi na mbili jioni: mchemsho wowote:2000

Saa mbili usiku: supu ya pweza na pweza wake, valuer bapa na redbul moja:10,000

yaani elfu thelathini kujiandaa tu wakati huo ni mshahara wa mfanyakazi wa ndani mkuu upo seriously kweli na maisha!!!

Tutakushtaki wizara ya kazi yani unamlipa beki 3 30000 kwa mwezi? You must be kidding The End !! Na anafanya kazi more than 16hrs a day?Seven days? No please huo ni uonevu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom