NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,281
- 24,064


admini ni nani mkuu,,mina mtamu??nimeona kuna uzi ametajwaMi nadhani yanafika 800. Na kila grupu nina kamchepuko
Tena siku hizi wamejigundulia eti makazini huko ni lazima kuwa na magroupInategemea na level zako pamoja na umri..
Ukiwa ni muajiriwa utakua kwenye group la kazini.
Group la kanisani.
Group la form 4
Group la form 6
Group la chuo.
Group la michongo ya kazi.
Group la kabila lako.
Group la chama cha mapinduzi.
Group la ujasiriamali.
Group la wana (weekend outings)
Hesabu mangapi hayo?
Sent using Jamii Forums mobile app
hili group nliungwa na best yangu mlokole Ile mbaya but sjaii Ingia umo ndani kujua wanongelea nini since nimeungwa na kujitoa siezi maana jamaa ni admin atajihisi vibaya.Group mbili. Zote za Liverpool FC moja la bongo moja International. Huwa sichangii sana naweza kutuma ujumbe mmoja au mbili kwa mwezi.
Zote ziko mutedso kujua kinachoendelea mpaka niingie mwenyewe.
I love you more Kasie AsprinLe Big Sam Orijinaleee.......
Utazikwa kishujaa sanaNina whatsapp app 4
Kila moja ina 6 group kasoro moja yenye 7
Total 25 groups
Hamna link mkuu maana ni marufuku ku share link ili kuepuka mamluki. Pia ukitaka kuingia lazima upigwe interview ili kubaini kama kweli ni mwana Liverpool.Mkuu nitumie link za hizo groups, natafuta sana link ya lfc Bongo
Sent from my iPhone using JamiiForums