Una kiwanja mbezi beach/tegeta/watch out mtandao wa papa msofe na wizara ya ardhi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Una kiwanja mbezi beach/tegeta/watch out mtandao wa papa msofe na wizara ya ardhi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Jul 31, 2011.

1. Pdidy

Pdidy JF-Expert Member

#1
Jul 31, 2011
Joined: Nov 22, 2007
Messages: 33,080
Likes Received: 5,556
Trophy Points: 280
Ndugu wapendwa

Huyu ndugu yangu ni mtu wa nne kukumbwa na hii shida..kuna kundi liko wizara ya ardhi na mama tibaijuka analijua fika wanafanya klazi ya kubadilisha viwanja vya watu kwenye system ..kuna siku nilikuja na utapeli uliokuwa ukiongelewa wa huyu bwana papa msofe na mchaga mmoja aitwaye Mlay ambae Clouds ilipofuatilia aliitoa docs zote na kusema ameshangaa kule wizaran wamebadilishaje na huku saini kadhaa zikijirudia kwa huyo bwana ambae mwanzoni aliijiita Hashim.

Alipotakiwa kwenda wizaran akapeleka barua kama yeye..huyu bana amekuwa akila na mapolisi wa Kawe na mkuu wa kituo cha kawe na akadiriki kuvunja nyumba ya huyo bana kisa akuwepo nchini mwakaa mmoja.

Sasa basi leo niko mitaa ya ngrooo ngroooongroooo kijana wangu mmoja nae akaanza kutatngaza awezi hata kula ana shida, nini kilichomsibu anasema yeye alinunua kihalali na hata amelipia hiko kiwanja. Alipofika majuzi kwenda kufanya usafi akakuta kibanda chake cha vyumba viwili kimepigwa chini na mlinzi kapewa hela ameondoka.

Alipoulizia akaambiwa na majirani kuna mtu anajiita Adolph..na kaacha namba zake alipompigia akaanza kumuuliza shida yake akamueleza akamwambia unamjua papa Msofe kuwa makini na malalamiko yako akakata alipoenda wizarani akakuta wamebadilisha, bahati anajuana na waziri mmoja wakatumiana kimemo na mama.

Jamaa wanatafutana na mbaya zaidi vibali vyote vina saini za watu wamoja..na huyo papa amejenga fasta yuko kati kati na alivyoona majuzi ameitwa wizarana na wakubwa amempigia anaomba akutane nae nikamwambia unajua maana ya koma akome kama alivyokoma ziwa la mamake nikamwambia kundi lao kukusahaulisha na kukutupa baharini kama Osama ukawa mtanzania wa kwanza kuzikwa baharini bila kujulikana kitu cha kawaida afadhali Osama ndugu walijua yuko baharini.

Kama una ndugu ana kiwanja sehemu hizo kuwa makini ni mtandao mrefu wanatumia majina ya

Seif
Adolph
Hashim
Papa msofe hili huwa wazi akiwa anaitajika lakini mwanzoni anatumiaga hayo majina
kwa nini ukachukue ardhi ya mtu alielipia na kupewa kihalali ni nani anawalinda huko
wizara ya ardhi jamani?

2. The Boss

The Boss JF-Expert Member

#2
Jul 31, 2011
Joined: Aug 18, 2009
Messages: 37,826
Likes Received: 22,463
Trophy Points: 280
thanx,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,

3. Ngambo Ngali

Ngambo Ngali JF-Expert Member

#3
Jul 31, 2011
Joined: Apr 17, 2009
Messages: 3,194
Likes Received: 134
Trophy Points: 160
Untouchables, unspeakable s and undiscussables

Part of the rotten, albeit acceptable land scam in the municipalities, ministry and the country.

Long live CCM.

4. Vin Diesel

Vin Diesel JF Gold Member

#4
Jul 31, 2011
Joined: Mar 1, 2011
Messages: 8,401
Likes Received: 736
Trophy Points: 280
Rushwa ina angamiza taifa hili...

5. N

Ndjabu Da Dude JF-Expert Member

#5
Jul 31, 2011
Joined: Aug 29, 2008
Messages: 3,648
Likes Received: 408
Trophy Points: 180
Kwa kweli mmefulia watu kama wewe mnaohodhi viwanja miaka 30 ilhali mmeshindwa kuviendeleza zaidi ya kujenga vibanda vya mabati vya walinzi. Sheria imeweka wazi kabisa viwanja kama hivyo rukhsa kutaifishwa. Wee niambie tu kiwanja chako na kibanda chake kiko Mbezi Beach sehemu gani nianze kukifanyia kazi. Kudadeki!

6. u

ureni JF-Expert Member

#6
Jul 31, 2011
Joined: Jun 14, 2011
Messages: 1,272
Likes Received: 230
Trophy Points: 160
Papa msofe yeye nimeshamsikia sana na huo utapeli wake,yeye kitu anachofanya anatumia loop hole ya sheria,kazi yake ni kuzunguka kwenye viwanja vyote ambayo vimeshapimwa na serikali huko mbez beach,ambavyo hakuna mwenyewe hajajenga kwa miaka mingi na ameweweka kibanda na mlinzi,kitu anachofanya anampa mlinzi hela kidogo anamwambia apotee,mlinzi mbele ya hela anapotea,papa msofe anaenda wizarani wanatumia ile loop hole ya sheria kuwa kiwanja hakijaendelezwa kwa miaka mitatu kwa hiyo anayanganywa mmiliki halali anapewa mmiliki mwingine anayeweza kukiendeleza anayeitwa papa msofe,papa msofe anajenga fasta halafu hapotezi mda anatafuta mseti anauza fastafasta milioni mio sita au mia saba anachanja mbuga,uzuri wa papa msofe akishauza hayo mahela anayatafunia hapahapa bongo kwa hiyo anakuza uchumi wa nchi na kuleta maendeleo ya kuendeleza yale maeneo ambayo hayajaendelezwa kwa mda mrefu.

7. T

The Priest JF-Expert Member

#7
Jul 31, 2011
Joined: Dec 8, 2010
Messages: 1,026
Likes Received: 23
Trophy Points: 135
Duh!kweli huyo ndie papa msofe!

8. S

Sharp lady Senior Member

#8
Jul 31, 2011
Joined: Feb 23, 2011
Messages: 129
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
Thanks kwa inf.

9. nkasoukumu

nkasoukumu JF-Expert Member

#9
Jul 31, 2011
Joined: Nov 27, 2010
Messages: 692
Likes Received: 105
Trophy Points: 60
Chakwangu sijajenga hata banda kipo bahari beach, natamani aje akiuze, ili nionyeshe mfano

10. FaizaFoxy

FaizaFoxy JF-Expert Member

#10
Jul 31, 2011
Joined: Apr 13, 2011
Messages: 58,102
Likes Received: 22,138
Trophy Points: 280
Usimjaribu, mtu namna huyo huwa ni hatari kupindukia.

11. Original Pastor

Original Pastor JF-Expert Member

#11
Jul 31, 2011
Joined: Nov 14, 2007
Messages: 1,256
Likes Received: 10
Trophy Points: 135
Mimi Nampa sapot sasa Jamaaa Papaaa Msofe. Nyika Vome kamua baba kwanini hawajajenga hata mimi natafuta hicho hicho kama upo bieeeeee Papa Msofe nipe maujanja mimi OP Predeeesheee Farasi bubu.

12. H

Hofstede JF-Expert Member

#12
Jul 31, 2011
Joined: Jul 15, 2007
Messages: 3,584
Likes Received: 32
Trophy Points: 0
Lol, huu woga unanikumbusha zile kauli za Mwema kuwa mafisadi hawakamatiki kwani nchi itayumba. Yaani Tanzania yenye jeshi la polisi na la wananchi plus TISS tunashindwa kushughulikia hawa mafia?. Basi ni dhahiri kuwa mtandao wao upo mpaka kwenye vyombo vya dola na ndiyo maana hata Rais anawaogopa lol!.

Hii inanikumbusha kisa cha DUDU wa Jamaica aliyetikisa serikali wakati wa kukamatwa kwa tuhuma za mihadarati

13. Rweye

Rweye JF-Expert Member

#13
Jul 31, 2011
Joined: Mar 16, 2011
Messages: 15,025
Likes Received: 3,051
Trophy Points: 280
Nahisi earthquake tumboni mwangu..haaghhhhh!

14. Pdidy

Pdidy JF-Expert Member

#14
Jul 31, 2011
Joined: Nov 22, 2007
Messages: 33,080
Likes Received: 5,556
Trophy Points: 280
mwaya endelea na esiqwiqwi sie tnaaerasha na wakina msofe naomba asikanyage nyumban kwangu maana kama anavunja na kujenga hatari saana

15. MwanaHaki

MwanaHaki R I P

#15
Jul 31, 2011
Joined: Oct 17, 2006
Messages: 2,403
Likes Received: 122
Trophy Points: 145
Fisadi huyu asikawizwe. Apigwe risasi mara moja, kama wanavyofanya kule China! Kwishney! Rushwa adui wa haki! Hata vitabu vyote takatifu vimesema!

16. Mulhat Mpunga

Mulhat Mpunga JF-Expert Member

#16
Jul 31, 2011
Joined: Oct 28, 2010
Messages: 25,424
Likes Received: 12,693
Trophy Points: 280

S.T.U.P.I.D !!!!!!!!!

17. Mulhat Mpunga

Mulhat Mpunga JF-Expert Member

#17
Jul 31, 2011
Joined: Oct 28, 2010
Messages: 25,424
Likes Received: 12,693
Trophy Points: 280

HYU KIBAKA WA KIPARE HACHOKI TANGU MDA WOOOTE ANAKWAPUA TU VYA WATU PAMBAV UPO SIKU YAKE! WHAT GOES AROUND COMES AROUND, NA MSIBANI SIENDI NG'O UPARENI UMEZIDI KHAAA

18. j

join9527 Member

#18
Aug 1, 2011
Joined: Jul 13, 2011
Messages: 19
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
mtu namna huyo huwa ni hatari kupindukia.

[​IMG][​IMG]
[​IMG][​IMG]
[​IMG]

19. Tusker Bariiiidi

Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

#19
Aug 18, 2011
Joined: Jul 3, 2007
Messages: 4,753
Likes Received: 179
Trophy Points: 160
Hivi huyu Jamaa MUZAMIL ambaye maeneo ya Sinza Mori ana yard anapandisha Ghorofa 8 lakini LIMESIMAMISHWA Ghorofa ya 2!!! Kuna mtu ana hint???

20. Gama

Gama JF-Expert Member

#20
Aug 19, 2011
Joined: Jan 9, 2010
Messages: 9,224
Likes Received: 1,411
Trophy Points: 280
Well, hata ID yako inaonesha kuwa wewe ni mpenda vya kunyonga-shame upon you na ujue utawala wa sheria unakuja.

Loading...