Una kipawa gani?

Maths ndo kipaji kikubwa nilicho nacho japo ninavyo Vingi ila hiki hatari
 
Kulenga Shabaha.. Nikikosa sana napata 10/10, au 5/5

Cha pili.. KUMOKA, napiga heavy rotation kama Bob... Kuna Siku pwani nusura nimdatishe ofisa wa watu.

Cha tatu.. Kupanga mikakati yenye mantiki na utekelezaji rahisi.. Kitengo wananiita "Master Plan"
 
Natambua fikra za MTU kwa kumwangalia tu. Haihitaji anieleze. Nikimuona tu physically basi. Sikusomea na wala si kwa dawa.
Naajiuliza sana no uwezo gani Mola alinipa
Aisee ,, hongeraa
 
Kama "huruma" ni kipawa basi hicho ndicho Mungu alichonijaalia,,, yaani huwa nakosa amani na moyo kuniuma kma nikiona mtu anateseka niko radhi nitumie senti niliyo nayo ili kumsaidia mtu alie na shida hasa kama amenfata akanielezea tatizo kwa kwel hua ni ngumu sana kushindwa kumsikiliza ma kumtimizia shida yake…!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…